Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.
yeye mvaa miwani na wenzie wamefurahia huu mkataba?
 
Ile ziara yake ilihusu nini! Alikuja kusalima tu!!? Tulikua tunasubiri nini kina jiri baada ya ujio wake hivyo tulikua tumesha jiandaa ki psychology kitaaambo
Aah kwahiyo kwakuwa alikuja basi ni lazima tusign au kutosign? Kwamba nchi imeshikwa akili na nchi isiyo na bandari kufanya maamuzi?

Acheni utani basi
 
Ramli chonganishi😆
 
Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.[emoji848][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah kwahiyo kwakuwa alikuja basi ni lazima tusign au kutosign? Kwamba nchi imeshikwa akili na nchi isiyo na bandari kufanya maamuzi?

Acheni utani basi
Yule ndugu ana athari kubwa sana kwenye hili, maana yeye kesha tutangulia na hao dpw, sasa bandari yake kubwa itafanya vipi kazi kwa kupokea mizigo hafifu!!? Na ni karibia mara zote ndugu yetu huyo anapo tutembelea lazima kuna mabadiliko flani hua yanatokea baada ya muda!

Alipima upepo kwa jk wakapishana lugha akaja mlaghai mwendazake na kumpa formation ya security anayo dhani ni imara ( ambayo watu wamepita nayo hivyo hivyo ) bila kujua ndio alikua kakumbatia nyuki ila pia walikuja tofautiana pia, this tym were doomed

Huyo kila anapogusa lazima patibuke, wanaomjua hawacheck nae na wala hawataki hata urafiki nae
 
JK vs Kagame ila mzee wa msoga katulia Tuli anakuja kufunga goli dakika za lala salama
Ndicho kilicho baki! PK ni wa kumfagia tu, ila sijui kwa mbinu gani maana ana complex formation
 
Asante chief kwa kuweka hii sawa.

Mimi sioni kama hapa kuna haja ya kulaumu huyo PK.

Basi tumekuwa Taifa duni kiasi hicho!! Tanzania inapelekeshwa hivo!!

Yani vyombo vyetu kumbe ni dhaifu sana mbele ya Dola za Rw..!

Maskini nchi yangu!!
Navihurumia sana vyombo vyetu vya ULINZI NA USALAMA kwa maana vinapitia wakati mgumu sana. Ni fedheha kubwa sana kwa haya yanayoendelea.
 
Sawa tukubali hali ya udhaifu wake unatokana na jinsi yake. Je, wanaomzunguka nao ni wanawake ama wanafikira za kike?
Jibu ni hapana bali kuna harufu ya mlungula mkubwa kwa wote wanaohusika kwa namna moja ama nyingine na ni wanufaika wakubwa wa upigaji huu wa karne na wakati wote tangu kuundwa kwa nchi hii.
 
Punguza ukali wa maneno ndugu.
 
Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…