Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
 

Attachments

  • IMG_7604.jpg
    203.3 KB · Views: 6
Atulie mtu mwenye anatawala kamnchi kama wilaya moja tu hapa bongo na anatumia kila njia kulazimisha aonekane kichwa... ila siku sio nyingi ataaibika huyu.
 
halafu President kagame saa zingine ana utani wa kujisema yeye mwenyewe bila kujijua, halafu huyu jamaa ni muoga anaogopa hadi wanawake 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…