Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

Atulie mtu mwenye anatawala kamnchi kama wilaya moja tu hapa bongo na anatumia kila njia kulazimisha aonekane kichwa... ila siku sio nyingi ataaibika huyu.
Rwanda Wana Rais, usijilinganishe nao.
 
Mjinga ni wewe unayetaka watu waamini kuwa tunafanya vizuri wakati mijamaa inanunua mahekalu Uarabuni.

Halafu kwa nini nyie maCCM hii statement imewagusa na kuwauma.... Jiwe limerushwa gizani😁😁😁😁
Tunafanya vizuri kuliko huyo mwenye mdomo anatafuta kichaka Cha kufichia ujinga wake na nyie wajinga wengine mnampamba Kwa vigelegele.
 
Mwambie akae kwa kutulia
Tunauza maliasili zetu ili tupate nauli za kwenda arabuni kuomba misaada.

Anadhani bila nauli tutaendaje?
 
Atulie mtu mwenye anatawala kamnchi kama wilaya moja tu hapa bongo na anatumia kila njia kulazimisha aonekane kichwa... ila siku sio nyingi ataaibika huyu.
Hizi ni fikra zilizoathirika na ufisadi wa kudumu.
Nchi ndogo na nchi kubwa ipi yenye nafasi nzuri ya kufanikiwa kiuchumi?
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Punguza hasira! Je anachosema kinaukweli ama la! tuanzie hapo kwanza.
 
Hakuna haja ya kupaniki hajamtaja Mtu jina wala nchi mnajuaje kama kawataja nyingi, hata Congo DRC kuna rasilimali nyingi Kuliko Sisi Kyle Zambia kuna shaba, Zimbabwe Almasi, Botswana kuna Almasi na bado nao ni masikini Nadhani tutumie nauli yake kujitathimini badala ya kulaumu
 
Tunafanya vizuri kuliko huyo mwenye mdomo anatafuta kichaka Cha kufichia ujinga wake na nyie wajinga wengine mnampamba Kwa vigelegele.

Mjinga ni wewe unaeona tunafanya vizuri wakati unakunya kwenye vyoo vya matundu .... Nchi kila mwaka kipindupindu. Pumb34vu kabisa.
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Chuk gani
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Simpendi kagame lakini kwa maneno haya namkubali

Ccm ni viumbe wa ajabu sana
Wameuza rasilima zote ughaibini kwa partners wao kwa shares kiduchu

Alafu tukiishiwa wanaomtuma rais aende nje kuomba

Huu utaratibu siyo sawa
 
Tuna wajibu wa kuwa wazalendo, kuipenda na kuitetetea nchi yetu, watu wake, viongozi na serikali (kwa yale mazuri na yenye faida kwa taifa).
Hata hivyo, hapa tuangalie kama hoja Ina mashiko au mantiki na siyo imetoka kwa nani?
 
Mbona Rwanda ina madeni makubwa tu imayodaiwa huko nje!!? Someni kila kitu kiko wazi kwenye mitandao. Andika tu Rwanda Foreign Debt. Kisha mrudi hapa na ngonjera zenu.
 
Back
Top Bottom