Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

Wadogo wenzie kina Equatorial Guinea au Cape Verde ni matajiri yeye anapiga mdomo wakati anapakana na Nchi Tajiri,ana Hifadhi za Wanyama,ana population kubwa na ana Madini.

Huoni huyo ni mjinga mmja ambae anatafuta excuses Kwa wajinga kama wewe?
kumbe rwanda wana population kubwa na wanamadini
 
Ndio
Screenshot_20240129-163751.jpg
 
Atakuwa anarusha jiwe gizani baada ya CDF kumwambia Samia kuhusu yanayojiri DRC
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Chuki gani sasa?!! Lipi la UONGO hapo, mtake msitake huo ndio ukweli....
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Lakini kuomba omba ni sawa? Si sawa

Je yeye haombiombi? Anaombaomba
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Wewe umejuaje kuwa kainanga Tanganyika?
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

View: https://twitter.com/jktallorder/status/1751959810143142091?t=pRwnki5s-HWkwOS0mbrV7w&s=19
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

Kagame ana akili kubwa sana, sema tu sisi Watanzania asili yetu ni ujinga na hatupendi kuambiwa ukweli. Tumekuwa kama Waarab, wanaishi kimagumashi na uwongo kibao, ukiwaambia ukweli wanakusomea albadiri ufe. Tujiulize, hapa Kagame kakosea nini kusema haya? Waafrika wengi viongozi wetu ni wajinga, tuna kila aina ya madini lakini bado tu tuko nyuma kimaendeleo na hatujuwi nini cha kufanya. Tukuchukulie mfano wa hapa kwetu Tanzania. tuna shirika la umeme la Tanesco ambalo la hovyo kuwahi kutokea hapa nchini. Kila kukicha wanasingizia hakuna maji ya kutosha na ndiyo maana tunapata umeme wa mgao au kukosa kabisa na rais anaona it's ok kwa uwongo huo.

Toka mwaka 1961 visingizio ni vile vile tu na hakuna lolote linalofanyika kutatua huu ujinga kiasi kwamba mpaka na wananchi nao wameridhika. Sasa tuna mvua za kutosha mpaka inaua watu mbona bado hatuna umeme, shida ni nini? Moja kwa moja rais anahusika maana kama kweli yeye angekuwa anaona mbali lazima angefanya la maana hapa, mbona nyakati za Magufuli tulikuwa hatuna haya matatizo? Narudia tatizo hapa ni viongozi wa nchi, wako madarakani ila hawajitambui na wanafanya makusudi kufanya wayafanyao wakijua nothing will be done to them Kagame is right 100%
 
Wadogo wenzie kina Equatorial Guinea au Cape Verde ni matajiri yeye anapiga mdomo wakati anapakana na Nchi Tajiri,ana Hifadhi za Wanyama,ana population kubwa na ana Madini.

Huoni huyo ni mjinga mmja ambae anatafuta excuses Kwa wajinga kama wewe?
Mjinga ni wewe unayetaka watu waamini kuwa tunafanya vizuri wakati mijamaa inanunua mahekalu Uarabuni.

Halafu kwa nini nyie maCCM hii statement imewagusa na kuwauma.... Jiwe limerushwa gizani😁😁😁😁
 
Tanzania ndio kubwa jinga la east Afrika , nchi inakila sababu ya kuwa vizuri kiuchumi ila ndio ovyo kila kitu
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Hata kama dongo ni letu si ndo ukweli wenyewe. Braza, unataka hata Kagame aogope kutuambia ukweli? Tunao akina Mwijaku na Baba Levo sijui na yule bwege mwingine Dotto Magari wanatosha kutoa mapambio ya kibwege, siyo mtu smart kama Kagame.
 
Back
Top Bottom