Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

Kaongea maneno yanayo wachoma🤡

Hamna akili mbwa nyie matahira na mazezeta watupu.
Mama kawajaza sirikalini akili hawana kazi kumsifia nchi inaendelea kuharibika,miradi inasimama ila kuambiwa ukweli hawataki,haya tembezeni Hilo bakuli ila waarabu wao Wana kupa hiki lkn wanataka kile.
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Mnaambiwa ukweli mnaanza kulialia, kwani uongo hatuombiombi, kwani uongo hatuna natural resources? Tupambane na hoja na sio mtoa hoja.
 
Swali ni Je Rwanda haiombi ombi? Au kwakwe ni sawa ila Kwa wengine sio sawa?
 
Yuko sahihi kabisa, hili linanifanya nione aibu sana Kila ninapokutana na Wazungu inanisabisha nikose hata confidence.

tumeshindwa Kila kitu Kila mahala.
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Sasa hapo kawatukana au kawaambia ukweli?
 
Swali ni Je Rwanda haiombi ombi? Au kwakwe ni sawa ila Kwa wengine sio sawa

Hata kama wanaomba, inawezekana Wana haki hiyo, hawana resources, walikuwa vitani muda mrefu, nchi Yao ndogo, population ndogo nk. Sisi tuna Kila kitu lakini tun
 
Hiyo siyo shida yake.
Ukweli siku zote ni rahisi.
Sema wengi huwa hawapendi kujiambia wala kuambiwa ukweli.
 
Kagame karusha jiwe gizani. He's 💯 right!!
 
Japo simkubaligi huyu jamaa ila hapa kaongea ukweli kabisa.
Kuhusu anaifanyia nini Rwanda ,Rwanda haina rasimali zozote.

Swiss, Luxembourg, Singapore, Austria kuna rasilimali gani? Mnapenda kuwatafutia watu cheap excuses.

Unajua gold refineries kubwa duniani zipo Swiss na Swiss haijawahi kuchimba dhahabu hata siku moja?
 
Majinga sana ,Wajibu Kagame amefanya kipi wakati Nchi yake Bado ni LDC?

By the way hakuna Nchi isiyo na Rasilimali hapa Duniani ikiwemo Rwanda.
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

Ccm njooni msikilize huyu
 
Yah right .... Rwanda hawana rasilimali kama sisi lakini hawatembezi kopo kama sisi. Yaani sisi Maza akiltoka kwenda kutembeza kopo huko nje tunamsifia .... eti kaaenda kututafutia pesa .....!!

Anyway, hiyo statement inazihusu nchi nyingi tu za Kiafrica.
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa

Tunaposema wabongo wengi wajinga na inferiority complex inawasumbua ndo kama hivi. Kagame akiongea basi lazima anaongela TZ? Mnajishtukia kila kitu

Yeye Kagame kafanya nini kwake? RW bado ni nchi fukara kabisa duniani.

Madai ya CDF ni ujinga ndo maana boss wake alimpuuza.
 
Atulie mtu mwenye anatawala kamnchi kama wilaya moja tu hapa bongo na anatumia kila njia kulazimisha aonekane kichwa... ila siku sio nyingi ataaibika huyu.
Poapoa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.
 
Yah right .... Rwanda hawana rasilimali kama sisi lakini hawatembezi kopo kama sisi. Yaani sisi Maza akiltoka kwenda kutembeza kopo huko nje tunamsifia .... eti kaaenda kututafutia pesa .....!!

Anyway, hiyo statement inazihusu nchi nyingi tu za Kiafrica.
Moja ya Nchi zinazoongoza kupewa mosaada hapa Afrika ni Rwanda.

Hana hiyo jeuri ila mdomo anao.
 
Back
Top Bottom