Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

Kagame ana akili kwa kidogo Alichonacho ameonyesha nini maana ya kuwezekana kuleta maendeleo afrika .
 
Yeye ana akili au ni mbwa kama wewe tuu?
Akili anazo na ndio maana ameweza kuliona hilo tatizo na kuthubutu kulisema, na sio yeye tu mkuu watu wengi wa nchi zengine huwa wanatushangaa sana watanzania.

Nasikia Kikwete aliwahi kuulizwa kwa nini Tanzania masikini akajibu hata yeye hajui.
 
Sioni kama ni chuki, naona ni ukweli tu umekuuma. Hii nchi rasilimali tulizonazo ni nyingi mno- madini kila aina, vivutio vya utalii, ardhi nzuri, misitu, hali ya hewa nzuri, bandari kwny maziwa na bahati, etc. Vyote hivyo vinafisadiwa na wanaccm yangu tupate uhuru mpaka Leo.
Huu ni ukweli wala hauniumi ila jambo linaloniuma ni kuwa huyu mtu anayomambo yetu mengi sana ambayo hatujui lini atayatumia kutudhuru. Kauli yake inamaanisha anajua kila kitu chetu hata jinsi tunavyotembeza bakuli huko nje. PK ana watu,tena wako ndani kabisa ya mifumo yetu.
 
Kaongea Kweli tupu,

Ingawa amesahau kuwa Natural resources zilizo ardhini haziliwi kama chakula, yanahitajika Maarifa, pesa nk nk kugeuza natural resources kuwa pesa na utajiri unaoshikika.

Mfano mdogo tu, Rwanda, ilihitaji kushirikiana na mabepari wenye pesa na silaha na utaalamu, kuiba Mali za congo Ili kuwa hapo waliopo.
Huyu anajua hadi mikataba ya kimangungo tunayoingia ambayo inahamisha rasilimali zetu bila sisi kunufaika ndiyo maana anatucheka ujinga
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?


View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

Japo simpendi ila katoa ujumbe sahihi.
 
Japo simkubaligi huyu jamaa ila hapa kaongea ukweli kabisa.
Kuhusu anaifanyia nini Rwanda ,Rwanda haina rasimali zozote.
Kashindwa kuweka lami nchi nzima yenye ukubwa wa nusu ya mkoa wa tabora!?
 
Back
Top Bottom