Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Vipi, kapewa ruksa....ngoja tukae hapa kusikilizia uteuzi..
 
RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
View attachment 1507556

Si nilimsikia Mteule Wao Mkuu kuwa kwa anayetaka Kuachana na Nafasi za Kuteuliwa aandike Barua ili ateue Wengine? Huyu nae alishaiandika?
 
Ndiyo,mwingine Nani,jasakamwi watu wanasema ukweli
yani mpaka muda huu haujamjua Mkuu wa mkoa mwingine aliyechukua fomu? Ina maana hta michango ya wenzako humu hausomi? Haya soma kuanzia post number moja lazima utamjua huyo mwingine
 
Eeeehh, Mh. Rais si alisema wazi wazi kwa kurudia, ikiwa unataka kugombea ubunge kama ww ni RC, DC, DED, DAS au mtumishi wa umma, unaomba ruhusa, unaachia hivyo vyeo na anachagua mtu mwingine haraka, tena alisisitiza sana, ngoja tuone, duuh.. Polepole pia kasema hivyo sana, soon najua tutaona waraka wa Mh. Rais, naamini wengi wanataka ubunge kwa mwendo huu duh, kila la kheri Makonda kada mwenzangu.
 
Kwanini hamjasubiri mpaka tarehe ya mwisho ya kuchukua fomu ndo muanze kuwasema wote?
Tunasubiri wawe wengi tukiwatumbua tusisumbuke kuandika barua moja moja itamaliza wino wa wananchi
 
Sasa na huyu form four failure akaiba matokeo nae anataka kwenda bungeni.
Tukisema hii nchi tatizo ni ccm tunaonekana hatuna uzalendo.
 
That's my boy out there,
Kikubwa tu bwana Makonda ukumbuke yale mambo matatu uliyousiwa.
 
Eeeehh, Mh. Rais si alisema wazi wazi kwa kurudia, ikiwa unataka kugombea ubunge kama ww ni RC, DC, DED, DAS au mtumishi wa umma, unaomba ruhusa, unaachia hivyo vyeo na anachagua mtu mwingine haraka, tena alisisitiza sana, ngoja tuone, duuh.. Polepole pia kasema hivyo sana, uRC ndio basi tena au? duh
Hii ndio bongo mkuu.😛
 
Back
Top Bottom