Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Huyu ni blacklisted kwa kashifa chafu kabisa ya KUPOKA HAKI YA KUISHI YA WATZ wengi nadhani ndo hao wanaotekwa, wanaopigw arisasi, waliopotea, wanaookotwa kwenye mifuko baharini wote kuna mkono wake......

Alafu huyuhuyu tena eti wananchi wamchague sijui atamtetea nani wkt anaua binadamu wenzake.....
 
KUMEKUCHA
Ujinga na Upumbavu wetu tusilalamike
....atakufuata mpaka kwenye nyumba za ibada
Tunavuna tulichopanda
 
Tunamsubiri Rais wetu mpendwa asiyekuwa na upendeleo kuteua mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam na kumwapisha chap chap.
Labda tusiwe na haraka ndo anatafutwa kureplace lakini lazimamchakato ufanyike vizuri tumpate mwingine mchapakazi.tusubiri
 
Ndugulile kaka yangu sasa utafanya nini ?Kagombee Ukonga kaka.
 
Kwa nn hana tumbo kubwa kama walivyo wangombea wenzake?
IMG-20200715-WA0018.jpg
IMG-20200715-WA0026.jpg
 
Dah hapa ndo jiwe hua anajichanganya. Mbona wengine wote walilazimika kujiuzulu nyadhifa nyingine ili wagombee ubunge huyu imekuaje? Naanza kushawishika kuna jambo la ziada nyuma ya uswahiba wa hawa watu wawili
Huyu inawezakana fomu ya ubunge ikachanwa aendele na ukuu wa mkoa
 
Nilikua nawaambia hapa Mnyeti ni mtoto mpendwa wa baba na wa ndani zaidi kuliko hata Makonda.
Ila nadhani hana jinsi. Lazima awareplace. Asipofanya hivyo atakuwa siyo mtu wa misimamo kwa baadhi ya watu.
 
Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?

Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.

Mnaweza kuhisi amekuja kwenye kampeni kumbe yupo kwenye ziara ya kikazi, halafu mkaonyesa vidole vyenu vya Peopleeeeesss.

Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.

Halafu Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi yupo chini ya Mkuu wa Mkoa.

Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.

Chalamila, Ole Sabaya mnajisikiaje huko mliko.??
Nilishawaambia kuwa kuna kitu kati ya jiwe na huyu hamnisikii. Magu is a total skimmer!! for sure ukimkamata makonda utampata magufuli. Huu utajiri wa ghafla wa makonda ni wa Magufuli am sure! wait-----
 
Back
Top Bottom