mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Siendi kusoma kokote kwani najua sheria ni 1 tu 'we don't play by the books'.Huo Waraka unawahusu employees wa kawaida na SIYO POLITICAL APPOINTEES jamani mbona mnataka kulazimisha mambo. Hebu nendeni mkausome sawasawa na kujua ukweli wa mambo yalivyo.
Kwa mfano lile sakata la CAG sheria zinasemaje na wao walimfanya nini?