Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Dr. SSH,
Kijana wako haleti taswira nzuri kwa chama na Jamii,
Ikiwezekana mwondoshe katika posti hiyo!
-Anatutonesha madonda hivoo!
-Wasalaam.
 
Tatizo bashite analewa vyeo na kulimbikiza visasi,kwa karma hii viongozi wa namna hii hawapaswi kuwa katika nafasi,muda utasema endapo mama kampendea Bashite kwa vitisho ili gori lifungwe 2025 hata kwa mkono,mengi tutayasikia na kumsikiliza mama anaamua nini.
 
Hadithi nzuri ila umehadithia kishabiki kama mkandara rufufu!
 
Nasemaje Mungu awalaani kabisa hizo takataka zote mbili hiyo moja ya CCM na hyo nyingine ya Kiarabu zinazomshawishi mama kizimkazi kununua bandari zetu kwa kigezo cha uwekezaji kama hamjui hawa kina GSM ndo kina TICTS sa hivi wale wa container terminal wanaooperate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…