Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Tatizo bashite analewa vyeo na kulimbikiza visasi,kwa karma hii viongozi wa namna hii hawapaswi kuwa katika nafasi,muda utasema endapo mama kampendea Bashite kwa vitisho ili gori lifungwe 2025 hata kwa mkono,mengi tutayasikia na kumsikiliza mama anaamua nini.
Acheni Ramli na kutunga vihabari vya uzushi na uongo tu hapa.
 
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.

Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.

Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.

Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.

Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.

Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.

Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
JF imekuwa sehemu ya hadithi za Shigongo. Kweli maisha yanabadilika haraka sana.
 
Mashoga wanakuaga na mental illness shahawa zinaletaga kitu kama kichaa cha mbwa,

Haya ndo matatizo ya bashite

Ulaaniwe mzee six kwa kumuanza huyu kijana huko nyuma palishatoboka zamani

Bashite anatia huruma sana.
 
Mafia kwa wazazi wake lakini siyo kwa Taifa letu.Mheshimiwa Makonda ni Sauti ya watanzania anayeungwa mkono na mamilioni ya watanzania. hamuwezi kumchafua kwa vihabari vya kutunga na kuzusha hapa.
Unamjua Salaa lakini??
Au Unamsikia??
Salaah sio Mtu wa kumchezea namjua vizuri Ni mtu wa Visasi sana pengine humjui au unamsikia Leo..

Katika waarabu wenye Roho chafu bhasi huyu nahisi ndo miongoni mwao
 
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.

Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.

Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.

Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.

Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.

Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.

Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Bashite bashite bashite, nimekutaja Mara tatu! Siku yako IPO! Kama tuliweza kumtuliza kamanda wa polisi Barrow, sembuse hii kenge
 
Back
Top Bottom