Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Yani watu kama hao wanazozana mda wote huo mkashindwa kuchukua hata kivideo cha sekunde 5.

HAYA TUMESKIA
 
Watu tukila mchana mnatushambulia!! Sasa nyie kuguswa tu kidogo mnakuja na story za kutunga humu. Hivi nyie Waislam huwa mnajionajd lakini?
 
We phalla mwema, malizia kuwa ume copy mahali
 
Umeandika umbeya mtupu na uzushi tu uliojaa uongo mtupu. Hakuna ukweli wa aina yoyote ile.kwamba hao watu waliokuwepo wasingetoa ushahidi hata wa video au audio ya maneno waliokuwa wakitupiana? Wewe ni muongo na liongo likubwa sana.
 
Kwenda kumshtaki jamaa polisi ni kama kumtaka mama amchape mwanae kwa sababu kakosea hukoa amataani
 
DAB anafahamika ana swaga za kisukuma sana.

Ushamba ni mzigo.
Tumia akili yako vizuri.kwa hiyo kwa akili yako na wewe unaamini huo uzushi na uongo? Ushahidi upo wapi? Acheni kumchafua Mh Makonda kwa chuki zenu binafsi.hata hivyo hamumuwezi hata kidogo na wala hakuwezi kupamambai naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…