Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Salaah ajiangalie. Huyu Bashite ana silaha nyingi.
 
nyakubonga njoo huku mkuu. Mbona RB haijafanyiwa kazi? Achilia mbali kwa DPP.
 
Asante kwa kuniita huku...

Naaminije hii taarifa mkuu maana mwandiko ni wa Mange Kimambi...

Hua sina imani naye...(anasifika kwa umbea)

Unaweza kuniwekea picha ya hiyo RB mkuu?

Au niwekee source ya taarifa inayoweza kuaminika...
Nenda polisi ostebay au kwa salaah GSm ukaulize usitusumbue
 
Nenda polisi ostebay au kwa salaah GSm ukaulize usitusumbue
Nahitaji kujua nini sababu Makonda kutopelekwa mahakamani?

Makonda ni nani nchi hii hadi awe na kinga ya kushitakiwa?

Kama kesi zipo na ushahidi upo ila haziendi mahakamani ni...

Eiza Makonda anaogopwa(which is not true) au shutuma ni za uongo na Dpp amezipuuza...
 
Kwa asili makondo ni chawa hatari anauwezo wa kujipemdekeza kwa watawala hivyo anakingiwa kifua na watawala asishitakiwe lakini hawatawala hawawezi zuia karma isimtafune

umeelewa dogo!

Next time usiwabishie kaka zako
 
Duh!

Sioni logic hapa...

Itoshe kusema umeshinda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…