Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kashushwa ngazi labda hapo watakaribiana kimowanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashushwa ngazi labda hapo watakaribiana kimowanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.
Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.
Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.
Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.
Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.
Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Hatar kumbe huyo dogo ni ........Vizuri tu! Malipo ni hapahapa duniani
Mafia kapigwa biti kakimbilia polisi.
Ni JasusiHatar kumbe huyo dogo ni ........
nyakubonga njoo huku mkuu. Mbona RB haijafanyiwa kazi? Achilia mbali kwa DPP.Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.
Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.
Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.
Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.
Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.
Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Asante kwa kuniita huku...nyakubonga njoo huku mkuu. Mbona RB haijafanyiwa kazi? Achilia mbali kwa DPP.
Nenda polisi ostebay au kwa salaah GSm ukaulize usitusumbueAsante kwa kuniita huku...
Naaminije hii taarifa mkuu maana mwandiko ni wa Mange Kimambi...
Hua sina imani naye...(anasifika kwa umbea)
Unaweza kuniwekea picha ya hiyo RB mkuu?
Au niwekee source ya taarifa inayoweza kuaminika...
Nahitaji kujua nini sababu Makonda kutopelekwa mahakamani?Nenda polisi ostebay au kwa salaah GSm ukaulize usitusumbue
Kwa asili makondo ni chawa hatari anauwezo wa kujipemdekeza kwa watawala hivyo anakingiwa kifua na watawala asishitakiwe lakini hawatawala hawawezi zuia karma isimtafuneNahitaji kujua nini sababu Makonda kutopelekwa mahakamani?
Makonda ni nani nchi hii hadi awe na kinga ya kushitakiwa?
Kama kesi zipo na ushahidi upo ila haziendi mahakamani ni...
Eiza Makonda anaogopwa(which is not true) au shutuma ni za uongo na Dpp amezipuuza...
Duh!Kwa asili makondo ni chawa hatari anauwezo wa kujipemdekeza kwa watawala hivyo anakingiwa kifua na watawala asishitakiwe lakini hawatawala hawawezi zuia karma isimtafune
umeelewa dogo!
Next time usiwabishie kaka zako