Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Huu ndio ushahidi ? Uliona wapi mtu anayejamata mashoga wakina delicious akapendwa na marekani ?leta ushahidi sio huu wa kukamata machoko
We mjahidina inaonekana lugha ya Malkia inakupiga chenga, si bure..

Kwenye hiyo statement umeona neno "shoga" au "alikamata machoko?"

Very stupid argument from Lukub
 
We mjahidina inaonekana lugha ya Malkia inakupiga chenga, si bure..

Kwenye hiyo statement umeona neno "shoga" au "alikamata machoko?"

Very stupid argument from Lukub
Wewe ukikamata mashoga na machoko utaambiwa unadhurumu haki ya kuishi ni jambo la kawaida Kwa nchi zinazokubali uhayawani ,maana machoko yanatakiwa kuishi kuyakamata ni kukiuka haki ya kuishi Sasa hapo ambacho haukielewi ni nini,hiyo taarifa imesema Makonda kaua nani?
 
Ni shoga gani alikamatwa na Makonda? Akapelekwa wapi?

Unaandika vitu unavyofikiri tu kichwani mwako!

By the way umeisoma na kuilewa statement ya US Secretary of State Michael R. Pompeo?

Au Kiingereza kinakupiga chenga bibie?

Unajua anatuhumiwa kufanya uhalifu gani?

1. Kuvunja na kukiuka haki za binadamu Kwa ujumla wake

2. Kufanya au kusimamia mauji ya watu (flagrant denial to the right to life).

Huu kwako ni ushoga siyo?

Unadhani wamarekani ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa bajeti ya Tanzania wamekosea? Wanamsingizia?

Lakini cha ajabu ktk yoooote hayo wewe umeona "ushoga" kuonesha kuwa pengine wewe ndiye shoga kwa sababu imesemwa mahali kuwa;

Yamtokayo mtu mdomoni mwake, ndiyo hayo yamejaa moyoni mwake na ndiyo hayo huzaa matendo yake ktk maisha yake!!

Je, wewe nawe ni shoga siyo?
 
Huo ushahidi ulishindwa nini kumpatia kubenea akaupeleka mahakamani?
 
Mbumbumbu wa sheria nitakufundisha leo ili siku nyingine usikurupuke kuandika pumba.

Kwenye mashtaka ya jinai mwenye jukumu la kufungua mashtaka ni JAMHURI. Mimi nitaitwa kama shahidi
Hiyo sheria ulisomea wapi? Mbona kubenea alimshitaki na kesi ikasikilizwa, msitake kudhalilisha taaluma za watu
 
Makonda anauogopesha Upinzani Mandazi hatari Sana
 
Hiyo sheria ulisomea wapi? Mbona kubenea alimshitaki na kesi ikasikilizwa, msitake kudhalilisha taaluma za watu
Nenda vizuri kasome kesi ya Kubenea ujue alikuwa anamshtaki nani!! Kubenea alikuwa anamshtaki DPP kwa kutochukua hatua stahiki za kumshtaki Makonda kwa uvamizi wa Clouds Media. Kushindwa kwake ni kwa sababu Serikali iliyopo imemkingia kifua. Subiri zije serikali nyingine baada ya Samia. Atanyea debe huyo pimbi wenu
 
Hiyo sheria ulisomea wapi? Mbona kubenea alimshitaki na kesi ikasikilizwa, msitake kudhalilisha taaluma za watu
Wewe bado mjinga sana, halafu hutambui kuwa ni mjinga. Ni aheri ungeelewe kwanza kuwa wewe ni mjinga, maana ungefanya jitihada za kuondokana nao.

Kubenea hakuwahi kufungua kesi ya jinai dhidi ya Makonda. Na hata angetaka asingiweza kwa sababu sheria inamzuia. Kubenea alifungua kesi ya kutumia madarka vibaya.

Kesi za jinai ni DPP pekee ndiye mwenye uwezo wa kufungua kesi.
 
Kutumia madaraka vibaya ni kesi ya madai? Haya tuambie vifungu gani vya sheria vitumike dhidi ya makonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…