Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Hakuna wa kujiuzulu ndani ya CCM labda wewe ni mgeni wa utawala wa CCM na serikali,wakifikia hatua ya kuona wamezidiwa watateua ma-hitler wafanye lolote kwa msaada wa dola. Hivi unaijua CCM linapokuja swala la utawala yaani biblia na kolohanni wanaweka pembeni umafia unaanzaa.

Kila raia mtaani anapenda kuwe na Mfumo mzuri wa utawala yaani viongozi wachaguliwe kwa haki,tume ziwe huru LAKINI kila mtanzania mwenye uelewa timamu anajua kuwa CCM hawataki Katiba Mpya. Wamenogewa na Mfumo mbovu wa miaka yote hawawezi kusikiliza maoni ya yeyote awe Warioba,awe mufiti,awe askofu au Papa hawatamsikiliza badala yake watakupoteza. Tukubali CCM ni janga la Taifa wanawaza upigaji na madaraka ya milele.
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Why so cocksure? Was/is he your partner in crime? Au ni chuki?
 
Kama wewe ni mgeni nchini unaweza kudhani mambo ni Kosher (yaani hakuna sintofahamu ya Mikataba; Ukosefu wa Ajira, Walamba Asali kufuja Pesa, Mgao wa Umeme na Mfumuko wa Bei).... ; Sababu hayo yangekuwa yanatusumbua watu ambao ni kazi zao kupigia kelele hayo yanayoendelea wasingetumia muda wao kwa individual kupata Cheo / Kazi ambayo haimuhusu Mtanzania yoyote apart from Wanachama wa hilo genge...
 
Kwaji wewe ndugu LGF ulikuwa wapi mwaka 2015-20 wakati Makonda ananyang'anya fedha na magari ya watu? Tuseme hukusikia hata akiwateka akina RomaMkatoliki? Au hujawahi kusikia kuwa yeye ndiye aliyempoteza Ben Saanane?
Huyo ni chawa
 
Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Ningepata fursa ya kukutana naye, ningemuuliza habari za Ben Saanane, kabla ya mengine yote.
Kama upo karibu naye, mfikishie ujumbe huo, na ikiwezekana uwasilishe jibu ulilopata hapa.
 
Paul Makonda and DP World scandals will dominate the political landscape of the nation from now on, and permanently define the legacy of Samia Suluhu's fortuitous and failed presidency. These are her two historically criminal mistakes.

From the river to the sea
Palestine shall be free
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Wewe ni pumbavu la kutupwa kama wale madomokaya wa DP world akina Mwakisimbusi
 
Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
Unapulizia kinyesi pafyumu!!?
 
Wewe ni pumbavu la kutupwa kama wale madomokaya wa DP world akina Mwakisimbusi
senzighe wewe ni Shenzi mwenye nyege kwelikweli. Unanituka kwa kutoa hoja. Rudi kaangalie post yangu namba 2 unayoniita pumbavu, imepata LIKES 93 kufika sasa. Yaani post yangu namba 2 ndiyo inabeba thread, nimpindua hata Erythrocyte mwenye uzi wake.

Ningekuwa pumbavu nisingepata likes hata 2.
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Usitugomabishe na serikali kwa kutuunganisha kwenye mawazo yako eti ni dhihaka kwa Watanzania, Watanzania gani wakati tulio wengi tumefurahi Makonda kuingia kwenye mfumo wa CCM. Na huyo kigogo anayetishia kuondoka katika chama aondoke maana yeye si mmiliki wa chama, wamekufa waanzilishi wa CCM akina Nyerere, Kawawa, Syks, Sozigwa nk. lakini chama kipo imara zaidi sembuse huyo mmoja?
 
Watanzania gani wakati tulio wengi tumefurahi Makonda kuingia kwenye mfumo wa CCM. Na huyo kigogo anayetishia kuondoka katika chama aondoke maana yeye si mmiliki wa chama, wamekufa waanzilishi wa CCM akina Nyerere, Kawawa, Syks, Sozigwa nk. lakini chama kipo imara zaidi sembuse huyo mmoja?
Nenda Mirembe kapime afya ya akili kwanza ndiyo uje uandike humu hizo pumba
 
Ushahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.

Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.

Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.

Kama ndugu dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries

Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda
𝑯𝒂𝒕𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝑴𝒂𝒌𝒐𝒏𝒅𝒂 𝒂𝒏𝒂𝒇𝒂𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂!
𝑼𝒐𝒏𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒏𝒂 𝑼𝒌𝒂𝒕𝒊𝒍𝒊 𝒏𝒊 𝑵𝒅𝒈, 𝑯𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒍𝒆𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒖𝒖𝒛𝒊 𝒌𝒊𝒔𝒂 𝒉𝒂𝒌𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒅𝒉𝒖𝒓𝒖𝒎𝒖 𝒖𝒔𝒕𝒂𝒂𝒓𝒂𝒃𝒖..
𝑾𝒂𝒏𝒂𝒐𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒏𝒊 𝒊𝒍𝒆 𝒋𝒂𝒎𝒊𝒊𝒊 𝒚𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒖𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂𝒔𝒊𝒐𝒕𝒂𝒌𝒊𝒘𝒂!!

Sent from my V2120 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni wakala wa kumtetea Makonda mtandaoni, sawa tumekuelewa nenda kachukue ujira wako
 
Hali ya kisiasa ndani ya CCM siyo shwari;MAKONDA ANATAJWA NDIYO CHANZO CCM KUGAWANYIKA, wapinzani kumtumia makonda Hoja kupata kura.

1- viongozi waliumizwa na Makonda, wanaobezwa sasa wanatajwa kujipanga kupambana kuelekea 2025.

2: wapinzani wanamuona kama kiongozi la genge la uhalifu aliyepewa jukumu la kukisemea Chama chake.

Mpasuko ni mkubwa
 
..Makonda na Biteko wanagombania nafasi ya Waziri Mkuu 2025.
 
Si ndio sawa ili chadema ikamate dola?,au sizitaki mbichi hizi
 
Dola ilishasema hakuna uchaguzi bila katiba mpya!"uchaguzi wa mwaka 2024 usubiri hadi katiba mpya"Tumia akili
 
Back
Top Bottom