Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Nyinyi ndiyo mnasababisha nchi ionekane ina wajinga wengiMakonda kawasaidia watu wengi sana kuliko wale wachache wenye chuki naye. Ubabe anaweza, mananeo anaweza, nafasi alipata hajapelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi ndiyo mnasababisha nchi ionekane ina wajinga wengiMakonda kawasaidia watu wengi sana kuliko wale wachache wenye chuki naye. Ubabe anaweza, mananeo anaweza, nafasi alipata hajapelea
Why so cocksure? Was/is he your partner in crime? Au ni chuki?Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Kwani wewe ndugu LGF ulikuwa wapi mwaka 2015-20 wakati Makonda ananyang'anya fedha na magari ya watu? Tuseme hukusikia hata akiwateka akina RomaMkatoliki? Au hujawahi kusikia kuwa yeye ndiye aliyempoteza Ben Saanane?Why so cocksure? Was/is he your partner in crime? Au ni chuki?
Ningepata fursa ya kukutana naye, ningemuuliza habari za Ben Saanane, kabla ya mengine yote.Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Wewe ni pumbavu la kutupwa kama wale madomokaya wa DP world akina MwakisimbusiRais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Unapulizia kinyesi pafyumu!!?Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
senzighe wewe ni Shenzi mwenye nyege kwelikweli. Unanituka kwa kutoa hoja. Rudi kaangalie post yangu namba 2 unayoniita pumbavu, imepata LIKES 93 kufika sasa. Yaani post yangu namba 2 ndiyo inabeba thread, nimpindua hata Erythrocyte mwenye uzi wake.Wewe ni pumbavu la kutupwa kama wale madomokaya wa DP world akina Mwakisimbusi
Usitugomabishe na serikali kwa kutuunganisha kwenye mawazo yako eti ni dhihaka kwa Watanzania, Watanzania gani wakati tulio wengi tumefurahi Makonda kuingia kwenye mfumo wa CCM. Na huyo kigogo anayetishia kuondoka katika chama aondoke maana yeye si mmiliki wa chama, wamekufa waanzilishi wa CCM akina Nyerere, Kawawa, Syks, Sozigwa nk. lakini chama kipo imara zaidi sembuse huyo mmoja?Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Nenda Mirembe kapime afya ya akili kwanza ndiyo uje uandike humu hizo pumbaWatanzania gani wakati tulio wengi tumefurahi Makonda kuingia kwenye mfumo wa CCM. Na huyo kigogo anayetishia kuondoka katika chama aondoke maana yeye si mmiliki wa chama, wamekufa waanzilishi wa CCM akina Nyerere, Kawawa, Syks, Sozigwa nk. lakini chama kipo imara zaidi sembuse huyo mmoja?
𝑯𝒂𝒕𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝑴𝒂𝒌𝒐𝒏𝒅𝒂 𝒂𝒏𝒂𝒇𝒂𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂!Ushahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.
Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.
Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.
Kama ndugu dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries
Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda
Wewe ni wakala wa kumtetea Makonda mtandaoni, sawa tumekuelewa nenda kachukue ujira wako𝑯𝒂𝒕𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝑴𝒂𝒌𝒐𝒏𝒅𝒂 𝒂𝒏𝒂𝒇𝒂𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂!
𝑼𝒐𝒏𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒏𝒂 𝑼𝒌𝒂𝒕𝒊𝒍𝒊 𝒏𝒊 𝑵𝒅𝒈, 𝑯𝒖𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒍𝒆𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒖𝒖𝒛𝒊 𝒌𝒊𝒔𝒂 𝒉𝒂𝒌𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒅𝒉𝒖𝒓𝒖𝒎𝒖 𝒖𝒔𝒕𝒂𝒂𝒓𝒂𝒃𝒖..
𝑾𝒂𝒏𝒂𝒐𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒏𝒊 𝒊𝒍𝒆 𝒋𝒂𝒎𝒊𝒊𝒊 𝒚𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒖𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂𝒔𝒊𝒐𝒕𝒂𝒌𝒊𝒘𝒂!!
Sent from my V2120 using JamiiForums mobile app