Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Wewe nani ukatae ushahidi? Kwani wewe ndiyo Makonda? Utakataaje watu wanasema wana ushahidi Subiri atakapotoka Samia madarakani, huyu Nyamitako lazima atapanda kizimbani tu. Labda afe mapema
Wapumbavu hawaachi upumbavu wao,wewe umewahi kusema magufuli akiondoka makonda atanyea ndoo.leo tena imekuwa samia akitoka?!.
 
Mimi nadhani hii imefanywa kwa makusudi ili kuwaumiza gang fulani linaloonekana kutaka kumzuwia Mwenyekiti kwenye kinyang’anyiro cha 2025 ! Hii ni calculated move sio bahati mbaya !!
Hakuna anayeweza kumzuia mwenyekiti, Makonda mtoto mdogo. Hawezi kupambana na hiyo gang unayosema mkuu
 
Kwakweli hana ubavu ila inaweza kuwa ni namna moja ya kurusha dongo gizani na kuwaambia wengine kwamba mimi sipangiwi 😅😅🙏
Au msiyempenda kaja 😅🙏🙏
Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Wewe nani ukatae ushahidi? Kwani wewe ndiyo Makonda? Utakataaje watu wanasema wana ushahidi Subiri atakapotoka Samia madarakani, huyu Nyamitako lazima atapanda kizimbani tu. Labda afe mapema

Umeongea kwa hisia kali sana za kulipiza kisasi. Lakini ukweli ni kuwa, hujaloa ushahidi.
 
Wewe bwege elewa kuwa ushahidi unatolewa Mahakamani. Wacha kupiteza muda hapa kutaka ushahidi wakati elimu ya sheria huna
 
Sasa mbona hamfungui mashitaka ili mpeleke ushahidi?
Kweli ujinga wa mjinga unaweza kuwa baraka. Yaani kwa akili yako unafikiri ukileta tu maneno matupu tayari ni ushahi.
 
Umeshaambiwa huko nyuma kuwa mashataka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Subiri tu akitoka Samia ndiyo utajuwa kuwa jinai haiozi wala kuzeeka
 
Kwa nini jinai hii inaonekana kuwa na tashwishwi? Kwa nini isubiri mpaka Samia aondoke?
 
Back
Top Bottom