Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Tuandike katiba Mpya tuache malalamiko na ubonafsi, katiba mbovu ndo inapelekea watu kama makonda kupata nafasi myeti kwenye chama na serekali

Hivi Yaliyotokea wakati wa mwendazake hayakutufunza??
 
Tuna katiba ya kijinga haswa
 
Back
Top Bottom