Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mgambo wanaruka na kukanyaga.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una laana toka kwa Mama yako.CHADEMA ninyi huwa hamjitambui na wala hamuelewi mnataka nini. Kwa ujinga wenu mmeanza kushindana na kanisa la KKKT. jambo ambalo kamwe hatafanikiwa zaidi ya kupata laana tu na kusambaratika kama kondoo.
Endelea kutulia uone namna chama na serikali yake vinavyochapa kazi kwa ushirikiano mkubwa kama siafu.Mgambo wanaruka na kukanyaga.....
Wewe ndiye mwenye laana ya Mwenyezi Mungu. umepigwa upofu na MunguWewe una laana toka kwa Mama yako.
Hakuna kipya zaidi ya watu kuingiza per diem hata wewe akili yako inawaza the same.Endelea kutulia uone namna chama na serikali yake vinavyochapa kazi kwa ushirikiano mkubwa kama siafu.
Ni sawa kwa wakurugenzi kusimamia uchaguzi unaomhusisha boss aliyewateua(rais)?Kwa hiyo unaposema kesi ya mtu fulani ilitupwa je kwa akili yako ulitaka mlalamikaji apewe ushindi hata wakati kesi yake haina kichwa wala miguu?
Mahakama zipi hizo ?Mahakamani kinachoshinda na hoja za kisheria na siyo blaa blaa
Kesi ya Mbowe sio tu kujazana watu walizuiwa hadi kuingia na simu ila mabalozi na wawakilishi wa jumuiya za kimataifa na kesi tulikua tunapata update hapa jukwaani mashahidi wa kubumba wa serikali waliyokua wanaumbuka.au kwenda kujazana mahakamani kama ambavyo huwa mnafanya ninyi CHADEMA
Ndio ni sawa tu kwa wakurugenzi kusimamia uchaguzi maana wanakula kiapo kabla ya kuanza kazi hiyo ya uafisa wa tume ya uchaguzi.ndio maana hao hao wakurugenzi ndio walikuwa wakiwatangaza akina Mbowe,Lissu,sugu,mnyika,lema n.k.kuwa ni washindi wa ubunge.Ni sawa kwa wakurugenzi kusimamia uchaguzi unaomhusisha boss aliyewateua(rais)?
Mahakama zipi hizo ?
Kesi ya Mbowe sio tu kujazana watu walizuiwa hadi kuingia na simu ila mabalozi na wawakilishi wa jumuiya za kimataifa na kesi tulikua tunapata update hapa jukwaani mashahidi wa kubumba wa serikali waliyokua wanaumbuka.
Mheshimiwa Makonda anafanya kazi kwa uzalendo na siyo kutafuta pesa maana kama pesa tayari anazo za kutosha.kumbuka amekuwa mjumbe katika bunge maalumu la katiba,DC,RC na Sasa katibu mwenezi wa CCM Taifa.kwa hiyi hana sababu ya kufanya kazi kwa ajili ya kutafuta pesa bali anafanya kazi kwa ajili ya kuwasaida watanzania wanyonge.Hakuna kipya zaidi ya watu kuingiza per diem hata wewe akili yako inawaza the same.
Kwa mujibu wa katiba, PM atateuliwa kutoka Wabunge wa majimbo na si vinginevyoBashite wampe u PM, hii nchi inahitaji watu makatili. wakipelekwa kistaarabu hawapendi,
JESUS IS LORD&SAVIOR
Ni mwanasiasa na si mamlaka ya uteuzi.Labda kwa hapo unieleweshe kati ya mamlaka ya uteuzi na msemaji wa chama cha siasa.Makonda ni msemaji wa CCM. akisema yeye ni chama kimesema na kuzungumza.
Hiyo ni mipango ya uchaguzi ujao.wananchi wana kiu ya kutaka kuona Mheshimiwa Makonda anapewa nafasi nyeti serikalini.maana ameonyesha uthubutu na ujasiri wa hali ya juu sana katika kuwatetea wananchi wanyonge.Kwa mujibu wa katiba, PM atateuliwa kutoka Wabunge wa majimbo na si vinginevyo
Kwa uelewa wako chama na serikali ni nani mkubwa? Nani anayetangulia kabla ya mweziye? Nani anayemuunda mwenziye? Nani anayekwenda kwa wananchi ambao ndio wenye nchi na mamlaka na nchi yao?Ni mwanasiasa na si mamlaka ya uteuzi.Labda kwa hapo unieleweshe kati ya mamlaka ya uteuzi na msemaji wa chama cha siasa.
Chama ni muunganiko wa watu wenye itikadi sawa.Kwa uelewa wako chama na serikali ni nani mkubwa?
Hujui kuwa kuna nchi zina wagombea huru "independent candidate" asiyefungamana na upande wowote?Nani anayetangulia kabla ya mweziye? Nani anayemuunda mwenziye?
Je mgombea huru atawakilisha chama gani?Nani anayekwenda kwa wananchi ambao ndio wenye nchi na mamlaka na nchi yao?
Kwa uelewa wako chama na serikali ni nani mkubwa? Nani anayetangulia kabla ya mweziye? Nani anayemuunda mwenziye? Nani anayekwenda kwa wananchi ambao ndio wenye nchi na mamlaka na nchi yao
Kwahiyo chama kinaoverule katiba? Wanaoiweka serikali madarakani ni wananchi na siyo chama. Chama kinapewa tu dhamana. Na serikali ni mali ya wananchi na siyo chama. Mamlaka za uteuzi zilizopo ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na si katiba ya chama. Mimi niliomba ufafanuzi ili nielewe sasa kama ukiniuliza swali bado nitabaki kwamba sijakuelewaKwa uelewa wako chama na serikali ni nani mkubwa? Nani anayetangulia kabla ya mweziye? Nani anayemuunda mwenziye? Nani anayekwenda kwa wananchi ambao ndio wenye nchi na mamlaka na nchi yao?
Hao wananchi wanauwezo serikali madarakani kupitia uchaguzi ,ambapo katika uchaguzi chama ndicho kinachokwenda kwa wananchi kuomba kura kwa kunadi sera zake kupitia ilani yake ambayo ndio mkataba wake rasmi na Wananchi. Kwa hiyo chama kina haki zote kufuatilia utekelezaji wa ilani yake ambayo ndio mkataba na wananchi .kwa kuwa kikienda tena kuomba kula itakibidi kieleze kimefanya nini kwa miaka mitano katika utekelezaji wa mkataba wake. Wananchi wanaiweka serikali madarakani kupitia chama cha Siasa.kumbuka huwezi ukawa diwani au mbunge au Rais bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa na kupewa baraka za kugombea uongozi.Kwahiyo chama kinaoverule katiba? Wanaoiweka serikali madarakani ni wananchi na siyo chama. Chama kinapewa tu dhamana. Na serikali ni mali ya wananchi na siyo chama. Mamlaka za uteuzi zilizopo ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na si katiba ya chama. Mimi niliomba ufafanuzi ili nielewe sasa kama ukiniuliza swali bado nitabaki kwamba sijakuelewa
Chama ni muunganiko wa watu wenye itikadi sawa.
Hujui kuwa kuna nchi zina wagombea huru "independent candidate" asiyefungamana na upande wowote?
Na kwenye rasimu ya Warioba 2014 CCM mliyoifungia kabatini kipengele hiki kilikuwemo.
Je mgombea huru atawakilisha chama gani?
Anahitaji manifesto tu ndio blueprint yake sio chama au wapambe.
Kwahivyo tungetakiwa kuwa na mgombea huru sio lazima hivi vyama maana napo kuna matapeli.
Nimeamua nijibu haya maswali japo haikuwa quoted kwangu sababu una uwezo mdogo na ndio maana nimegundua machawa mnapendwa sababu mnatupiwa script mnabeba tu bila kuuliz
Labda unipe tafsiri sahihi ya chama cha siasa na wananchi vs serikali ili tueleweshane zaidi.Hao wananchi wanauwezo serikali madarakani kupitia uchaguzi ,ambapo katika uchaguzi chama ndicho kinachokwenda kwa wananchi kuomba kura kwa kunadi sera zake kupitia ilani yake ambayo ndio mkataba wake rasmi na Wananchi. Kwa hiyo chama kina haki zote kufuatilia utekelezaji wa ilani yake ambayo ndio mkataba na wananchi .kwa kuwa kikienda tena kuomba kula itakibidi kieleze kimefanya nini kwa miaka mitano katika utekelezaji wa mkataba wake. Wananchi wanaiweka serikali madarakani kupitia chama cha Siasa.kumbuka huwezi ukawa diwani au mbunge au Rais bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa na kupewa baraka za kugombea uongozi.
Maccm mnajichanganya sanaNdugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda ametoa maagizo ya chama kwa waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kumsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa Pangani Haraka sana.
Hii ni baada ya kukutana na kero nyingi sana katika halmashauri hiyo zilizotolewa na wananchi pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali ambao wamekuwa wakitoa huduma kwa halmashauri lakini hawalipwi pesa zao ,na wanapodai haki zao za kulipwa madai yao wamekuwa wakipewa majibu yasiyoridhisha huku mkurugenzi akijifanya Mungu mtu.
Mheshimiwa Makonda pia ametoa maagizo kwa Mh waziri kuhakikisha kuwa anaunda timu na kuipeleka Pangani kwenda kufanya uchunguzi wa masuala mbalimbali ambayo yamekuwa ni kero na kulalamikiwa na wananchi . Pia amezungumzia suala la kukwama kwa miradi ya serikali na masuala mengine mengi sana yanayochochea chuki ya wananchi kwa serikali yao.
Katika hatua nyingine Ametoa pia kauli nzito sana iliyotetemesha na kuibua shangwe kwa wananchi baada ya kuagiza wakurugenzi wote nchini kushugulikia kero za wananchi ,na kwamba mahali ambapo itaonekana mkurugenzi ameshindwa kutatua kero basi chama hakitasita kutoa maagizo kwa serikali ya kusimamishwa kazi kwa mhusika. Lakini pia amewaagiza wenyeviti wote wa CCM nchini wilaya na mikoa kutoa taarifa juu ya wakuu wa mikoa,wilaya ,wakurugenzi na watendaji wengine wa serikali wanaoshindwa kufanya kazi na kutimiza majukumu yao vizuri ili wachukuliwe hatua.
Ndugu zangu Watanzania kupitia jukwaa hili niliwatahadhalisha sana na kuwasihi sana viongozi wote wa serikali mikoani na wilayani kuwa waanze kufanya kazi na kwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao.niliwaambia ya kuwa ziara za Mheshimiwa Makonda zitakuwa za moto sana tena sana na zitasomba wengi sana hasa wale wazembe na wanaofanya kazi kwa mazoea na kujifanya miungu watu hawatasalimika wala kuachwa salama katika ziara za Mheshimiwa Makonda. Kwa sababu kila mtu anafahamu ya kuwa Mheshimiwa Makonda hanaga huruma wala subira wala uvumilivu kwa wazembe kazini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Taarifa mpya ya hivi punde.
Ni kuwa Tayari muda huu mkurugenzi amesimamishwa kazi na waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kama alivyoelekezwa na kuagizwa na chama. Amesimamishwa ili kupisha uchunguzi.
View attachment 2878884
Maagizo katoa makonda baada ya watu kulalamika, chama kilikaa lini na kumtuma makonda kumpa maagizo mkwe wa mama?Chama ndicho kimetoa maagizo na Mheshimiwa Makonda ndiye msemaji wa chama cha Mapinduzi
Kwa hiyo unataka viongozi wazembe na wanaofanya kazi kwa mazoea wasichukuliwe hatua? Unataka uozo ufumbiwe macho? Unataka hatua zisichukuliwe kwa watu wanaoshindwa kutimiza vyema majukumu yao?Maccm mnajichanganya sana
Jana Nchimbi kakataza viongozi wa chama kuwakosoa wa serikali, makonda anafanya yake.