Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #101
Kwa hiyo unataka kinapokaa kikuletea taarifa? Hufahamu kuwa chama mikoani kuna kamati za siasa mkoa? Haufahamu ya kuwa chama kinauwezo wa kuwasiliana hata na Rais wakati wowote ule? Kwani pia ulikuwa unatakaje. Unataka watu waendelee kufanya kazi kwa mazoea? Unataka miradi ishindwe kukamilika kwa kuwalea na kuwafumbia macho wababaishaji?Maagizo katoa makonda baada ya watu kulalamika, chama kilikaa lini na kumtuma makonda kumpa maagizo mkwe wa mama?
Ndio imezengatiwa na itaendelea kuzingatiwa maana mkurugenzi amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabiliHaki imezingatiwa????
Kwahiyo taasisi ya uteuzi ilituletea sisi wananchi wasaidizi wa taasisi ya uteuzi wazembe. Hapa ni kipi unachotaka kuamisha kwamba taasisi ya uteuzi haiko makini? Na kwamba taasisi ya uteuzi haiko makini katika kuteua wasaidizi wake. Muundo wa kiuongozi wa chama ukoje labda sasa niulize hiliKwa hiyo unataka viongozi wazembe na wanaofanya kazi kwa mazoea wasichukuliwe hatua? Unataka uozo ufumbiwe macho? Unataka hatua zisichukuliwe kwa watu wanaoshindwa kutimiza vyema majukumu yao?
Pia naona hukuielewa vyema kauli ya katibu mkuu wetu. Na wala haikuwa na lengo kama unalotaka kulitafsiri wewe
Umeyasikia Maelekezo ya Katibu Mkuu CCM!?Chama ndicho kinampa maagizo waziri. Kumbuka na elewa ya kuwa CCM Ndio iliyounda serikali na siyo serikali iliyounda CCM. Ni CCM ndiyo itakayo kwenda kwa wananchi kuomba kura kwa hiyo ni lazima CCM iwakatae na kuwawajibisha kupitia serikali yake watendaji na viongozi wote wanaoonekana kuwa vikwazo katika kuwahudumia wananchi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
Hamna kitu hapa ,yai TU
Kwa mantiki hii chama kinamshauri rais na si chama kutoa maamuzi ya kutengua uteuzi wa rais.Rais amechaguliwa na wananchi wote na Rais ni mali ya wananchi. Naona makonda ameruka hatua na kwa kauli yake amemtweza rais na kwamba sasa anyetoa amri ni makonda. Kwa nia njema ya kuheshimu taasisi ya urais nadhani unayemtetea anapaswa kushauriwa ipasavyo. Na kama wewe ndio mtetezi naona uanzidi kuharibuKwa hiyo unataka kinapokaa kikuletea taarifa? Hufahamu kuwa chama mikoani kuna kamati za siasa mkoa? Haufahamu ya kuwa chama kinauwezo wa kuwasiliana hata na Rais wakati wowote ule? Kwani pia ulikuwa unatakaje. Unataka watu waendelee kufanya kazi kwa mazoea? Unataka miradi ishindwe kukamilika kwa kuwalea na kuwafumbia macho wababaishaji?
Umeambiwa CHAMA kimempa agizo waziiri.
Chama chini ya Mwenyekiti wake kimeagiza kupitia Msemaji wake ambaye ni bwana PauloKwa mantiki hii chama kinamshauri rais na si chama kutoa maamuzi ya kutengua uteuzi wa rais.Rais amechaguliwa na wananchi wote na Rais ni mali ya wananchi. Naona makonda ameruka hatua na kwa kauli yake amemtweza rais na kwamba sasa anyetoa amri ni makonda. Kwa nia njema ya kuheshimu taasisi ya urais nadhani unayemtetea anapaswa kushauriwa ipasavyo. Na kama wewe ndio mtetezi naona uanzidi kuharibu
Tatizo wanamuona katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama vile ni kitu tofauti na Paul Makonda.Chama ndicho kinampa maagizo waziri. Kumbuka na elewa ya kuwa CCM Ndio iliyounda serikali na siyo serikali iliyounda CCM. Ni CCM ndiyo itakayo kwenda kwa wananchi kuomba kura kwa hiyo ni lazima CCM iwakatae na kuwawajibisha kupitia serikali yake watendaji na viongozi wote wanaoonekana kuwa vikwazo katika kuwahudumia wananchi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
Chama kinaomba ridhaa kwa wananchi kuunda serikali. Serikali ikifanya vibaya hukumu inaenda kwa chama kuondolewa madarakani.Kwahiyo chama kinaoverule katiba? Wanaoiweka serikali madarakani ni wananchi na siyo chama. Chama kinapewa tu dhamana. Na serikali ni mali ya wananchi na siyo chama. Mamlaka za uteuzi zilizopo ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na si katiba ya chama. Mimi niliomba ufafanuzi ili nielewe sasa kama ukiniuliza swali bado nitabaki kwamba sijakuelewa
Umemjibu vizuri sana .Chama kinaomba ridhaa kwa wananchi kuunda serikali. Serikali ikifanya vibaya hukumu inaenda kwa chama kuondolewa madarakani.
Ni CCM ndio itakayojibia mapungufu ya serikali na kupokea adhabu ya wananchi.
Sasa tukisema chama baada ya uchaguzi hakina kazi yoyote kinasubiri kutumika wakati wa uchaguzi tena basi hakuna haja ya kuwa na chama.
Chama kinaunda serikali na serikali haiundi chama.
Chama tawala kinawajibu wa kuisimamia serikali na vyama vya upinzani vina wajivu huohuo na ndio maana vyama vya upinzani pia vinaikosoa serikali na CCM inawajibu wa kuhakikisha ilani yake na ahadi vinatekelezwa.
Nafasi ya Mheshimiwa Makonda ni kubwa sanaTatizo wanamuona katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama vile ni kitu tofauti na Paul Makonda.
Katibu wa itikadi na uenezi taifa ni Msemaji wa chama hivyo Paulo Makonda ni msemaji wa CCM na Kiprotokali yupo chini ya KM, Makamu wenyeviti na Mwenyekiti pekee. Si nafasi haba kama mnavyotaka kutuaminisha.
Kujipendekeza na ujinga ni talent yako uliyojaliwa, chawa wenzako wanajengewa nyumba, Labda watakukumbuka keep it upMakonda amekuja kwa wakati sahihi kabisa. Ni chaguo sahihi na la kimkakati sana alilolifanya Mheshimiwa Mwenyekiti wa chama na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr Mama Samia Suluhu Hasssan
Mimi sijipendekezi bali naaongea ukweliKujipendekeza na ujinga ni talent yako uliyojaliwa, chawa wenzako wanajengewa nyumba, Labda watakukumbuka keep it up
Huyo ameshachangsnyikiwa na kichwa chake hakifanyi kazi baada ya kuona moto unaowashwa mitaani na Mheshimiwa Paul Makonda unauangamiza na kuuteketeza upinzani hasa CHADEMA mitaani.Umeambiwa CHAMA kimempa agizo waziiri.
Kwani hujui kazi ya Msemaji wa Chama aisee ?
Hapa ndipo tunapo kosea.Safi kabisa,makonda is a man of actions,piga kazi baba!!
Halmashauri zina wakurugenzi wazuri tu ila kuna wachache pia wanaofanya kazi kwa mazoea .ndio hao ambao kiukweli hawataachwa salama awamu hii.Hapa ndipo tunapo kosea.
Mkurugenzi i patikana je?
Bii kupeana kazi kirafiki bila sifa ndlo tatizo kubwa
Serikali inge fanya vetting wakati wa uteuzi haya tunayo yasikia na kuya ona hayange tokea kwa kiasi hiki.
Ni halmashauri ipi nchini ambayo iko salama.
Zote zina makada wa chama pendwa.
Magufuli alipora uchaguzi akajaza wananaccm kuanzia mtendaji, diwani, mbunge, achia wakurugenzi, watendaji, DC na RC kuwa wa ccm, hakuna anayeweza kutatua hayo matatizo hadi aje mwanaccm mmoja kuja kusaka kiki za kijinga. Na Bado mnaamini watu ni wajinga wa aina hiyo.Safi kabisa,makonda is a man of actions,piga kazi baba!!
Wazembe wote ni lazima wakanyagwe tu
CCM haikupora uchaguzi bali ilipita kihalali kwa kura halali kabisa za wananchi.Magufuli alipora uchaguzi akajaza wananaccm kuanzia mtendaji, diwani, mbunge, achia wakurugenzi, watendaji, DC na RC kuwa wa ccm, hakuna anayeweza kutatua hayo matatizo hadi aje mwanaccm mmoja kuja kusaka kiki za kijinga. Na Bado mnaamini watu ni wajinga wa aina hiyo.