Paul Makonda amefanikiwa kuiweka CCM katika mioyo na midomo ya Watanzania

I think huyu ndo architect wa usanii wa mwendazake. Nahisi huyu alimshauri awe wa maigizo, na kweli ikamlipa kisiasa
 
Ma DC na Wakuu wa mikoa wameanza kwenda kwa wanchi baada ya ziara za Makonda!! Una maana gani? Kwamba bila Makonda Serikali ilikuwa haifanyi kazi? Basi serikali ya Samia ni ya hovyo kuwahi kutokea.
 
Vipi Mauritius watu hawaongezeki? Morocco raia hawana nguvu za kiume? Egypt, Algeria? Kwanza huko ni mbali, hapo Uganda ina maana watu hawaongezeki? Acha kuongea upuuzi na kuleta uchawa wa kijinga
 
Mimi sisomi
Swa Nashukuruuu sana kwa jibu lako zuri na la unyenyekevu sana.wewe nakukubali sana kuliko mwingine yeyote yule humu jukwaani. Nitaendelea kukukubali hivyo hivyo maana mimi nikimkubali mtu namkubali wote wote kama alivyo.
 
Vipi Mauritius watu hawaongezeki? Morocco raia hawana nguvu za kiume? Egypt, Algeria? Kwanza huko ni mbali, hapo Uganda ina maana watu hawaongezeki? Acha kuongea upuuzi na kuleta uchawa wa kijinga
Angali tumetoka wapi na tupo wapi.kumbuka ya kuwa kuna mikoa ilikuwa haijaunganishwa katika grid ya Taifa lakini kwa sasa imeunganishwa na hivyo kuongeza mahitaji na matumizi ya umeme. Hata hivyo usijari maana kero hii ipo ukingoni kumalizika.uwe na subira na punguza hasira maana utafutaji mwenyewe.utawasha na kutumia umeme mpaka uchoke mwenyewe.
 
Ulipotoa taarifa ya kulazwa kwake jana ulikuwa msemaji wa familia ya Mwinyi? Kuna siku kiherehere kitakuponza.
Nilikuwa nimenukuu taarifa ambayo ilikuwa imetolewa na msemaji wa familia na siyo kwamba mimi ndiye nilitoa taarifa kwa niaba ya familia.
 
Labda watanzania wapumbavu wa mwisho kabisa na wajinga kama wewe.
 
Hizi porojo na siasa zako za kijinga wapelekee chawa wa uvccm wenyewe, usinieleze mimi mwerevu. Unajua Morroco wametoka wapi na wako wapi? Egypt hawana mikoa? Unahangaika miaka mingi kupiga hatua moja ukishtuka wenzio wako hatua kumi mbele! Watu wa aina yako mlipaswa kunyongwa! Mnahujumu taifa!
 
Maisha magumu hao wanaokwenda kuisema ccm au chadema vizuri hakuna watu wanasema kirahisi midomo yao ni serikali imepandisha kila kitu hadi sukari na bila hela huyo mtu hawezi kuishi hata wahali ya chini wanalia Lucas mwashambwa so acha kujinadi na kula tu yenyewe ni ngumu kwa asilimja ya watu wengi.

Jaribuni kutafuta njia mmbadala yawatu kupata chakula
 
Ndugu yangu suala la sukari kupanda bei lilishaelezwa na kutolewa ufafanuzi na serikali na tayari sukari imeshaingia nchini na muda siyo mrefu itaanza kusambazwa nchini na hivyo bei kupungua.

Suala la maisha ndugu yangu ni kuwa lipo katika juhudi za mikono yako. Umaskini katika familia zetu Watt zitaondolewa na sisi wenyewe watanzania kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma kwa hali ya juu.kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kutusaidia Watanzania kujikwamua kiuchumi
 
Jamani huko CCM mkumbukeni huyu mjane au ina maana hamuoni hizo namba za simu hapo wacheni hizi.
 
Kichwa chako ni cha ccm so sisi tujenge shule,na tuweke madirisha ,vifaa vya laboratory eh acha ushamba serikali haijitumi kwa lolote wananch8 asilimia kubwa serikali ya tanzania wao hujipenda wenyewe sana kuhudumia sii mnasaidiana watu wanakufa nyie dhibidi kucha za bandia na kope na huku watu wanakufa na mafururiko
 

Muhalifu akae kwenye mioyo ya wananchi?! Chawa mnakwama wapi!
 
Jamani huko CCM mkumbukeni huyu mjane au ina maana hamuoni hizo namba za simu hapo wacheni hizi.
Acha maneno ya udhalilishaji.wewe hata kama una chuki na mimi bado unaweza kujenga hoja na kunipinga kwa hoja na siyo kutoa lugha za matusi.
 
Wapi nilipoandika kuwa mjenge shule ,kuweka madirisha pamoja na vifaa vya labalatory.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…