Paul Makonda amkabidhi Prof Jay millioni 20 ,Atoa ahadi nzitoo ya kumtafutia nyumba upanga ili kuwa karibu na hospitali.

Huyu mtu ni mtu wa kujituma na kujitoa sana,Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma azidi kumrehemu
 
Peleka ujinga huko chawa mchafu wewe. Utakufa kifo kibaya sana kwa kuuza watanzania wenzio wakiwemo mama zako kwa shs elfu 20.

Mattttercore wewe qumer
 
Makonda ni uthibitisho wa serikali isiyozingatia sheria hivyo watu wenye akili wakimuona wanaona jinsi Samia anavyosigina sio sheria tu bali katiba! “No one is above the law “.
Tuhuma zote hizo juu yake ikiwemo mauaji/utekaji hakuna hata moja lililofanyiwa uchunguzi wa kina!! Mnachanganya mahusiano na shuhuri za wananchi!
Mbele ya jumuiya ya kimaTaifa Bashite ni muhalifu ambae akikanyaga nchini mwao anawekwa jela.
 
Makosa yanasameheka kwa kutubu na kuungama kosa.
Makosa hayaondolewi kwa zawadi wala michango kwa kigezo cha nia njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAB amejikunjua vizuri.
Very sorry wadau,nimeona picha Prof amekaa kwenye kochi na DAB amrkaa chini kana kwamba wanazungumza.
Hivi ni kweli Prof amefikia hatua ya kutokuweza kusimama mwenyewe au kutembea?

Mungu azidi kumsimamia PROF JAY.
Naskia alikua anatembea vizuri,ila kuna siku alienda ATM kutoa hela akadongoka palr mlangoni akavunjika mguu
 
Mleta mada keshokutwa 27/12/2023 ufike ofisi ndogo ya chama Lumumba.
Umuone sekretari wangu uje na kadi ya chama uchukue pesa ya kununua nguo zako za sikukuu,nilikuona juzi umechoka sana kiatu kimeisha upande.
Karibu sana kijana wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…