Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwa hiyo wewe unaona ni nini?
kiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe unaona ni nini?
Mwambie Lema nae afanye kiki!! Hela hamna ni makelele tu!kiki
Hakika Mungu ambariki sana Mwenezi!Huyu mtu ni mtu wa kujituma na kujitoa sana,Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma azidi kumrehemu
Makonda ni uthibitisho wa serikali isiyozingatia sheria hivyo watu wenye akili wakimuona wanaona jinsi Samia anavyosigina sio sheria tu bali katiba! “No one is above the law “.Kuwa CHADEMA sio hati miliki ndo maana Prof Jay analiliwa na kuungwa mkono na kila mtu! Sema nyinyi kwenu siasa ni uadui hasa kwa Makonda! Maana kila mnapomuona Makonda mnawashwa washwa kama malaya!
Tuulieni hakuna anayetumia platform ya matatiozo ya Prof Jay kwa sababu taasisi yake ya kusaidia watu wenye matatioz ya figo aliamua yeye mwenyewe kuiunda hakushawishiwa na Makonda ili aje kujitwalia sifa yeye mwenyewe!
Nawaombeni sana CHADEMA msipo badilika na kuwa wauungwana msitegemee kuwa na matokeo ya tofauti kwa kuwa mnakoelekea sasa ni kuwa adui wa kila mu anayefaya jambo jema kwa manufaa ya uma hasa napokuwa sio mwanachama wenu!
Makosa yanasameheka kwa kutubu na kuungama kosa.Wewe nawe ni wale wale hata ufanyiwe nini huwezi kulidhika! Wakiacha kutoa utasema, wakitoa utasema mnafiki ni mtu mbaya sana!
Na kwa sehemu kubwa ni nyinyi vijana wenye chuki kubwa na Makonda na mnaonesha chuki zenu wazi pasipo kificho! Na cha kushangaza zaidi mnajipa Umungu mtu wa kutoa hukumu kwa wenzenu huku mkijihesabia haki kana kwamba Mungu ni wa kweu tu!
Badala ya kutambua ya kuwa kila mtu kapungukiwa na utukufu wa Mungu ndo maana kila leo tunaomba Mungu atusamehe makosa yetu!
Unafiki tu! Na bado hujasema!Makosa yanasameheka kwa kutubu na kuungama kosa.
Makosa hayaondolewi kwa zawadi wala michango kwa kigezo cha nia njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lissu na kelele zake million 2 tena y ahadi mpaka Leo apokei simu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]
Naskia alikua anatembea vizuri,ila kuna siku alienda ATM kutoa hela akadongoka palr mlangoni akavunjika mguuDAB amejikunjua vizuri.
Very sorry wadau,nimeona picha Prof amekaa kwenye kochi na DAB amrkaa chini kana kwamba wanazungumza.
Hivi ni kweli Prof amefikia hatua ya kutokuweza kusimama mwenyewe au kutembea?
Mungu azidi kumsimamia PROF JAY.
Aisee nashukuru sana mkuu kwa majibu mazuri.Naskia alikua anatembea vizuri,ila kuna siku alienda ATM kutoa hela akadongoka palr mlangoni akavunjika mguu