AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
TISS ilikuwepo kipindi cha nyerere sio siku hizi. siku hizi hata TISS wenyewe wanavujisha mambo. kwasababu wameichoka ccm.Hivi TISS wanang'oa watu korodani! Sikuwa najua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS ilikuwepo kipindi cha nyerere sio siku hizi. siku hizi hata TISS wenyewe wanavujisha mambo. kwasababu wameichoka ccm.Hivi TISS wanang'oa watu korodani! Sikuwa najua.
sasa kama ameshaitwa Polisi Makonda anamwita kwake ili iweje.Makonda atueleze kwanza kwanini lile agizo lake la kuwa na Dawati la Polisi kila hospitali kwa ajili ya kutoa PF 3 halijatekelezwa kabla hajarukia hili.Mkuu wa wilaya ni mlinzi wa amani kwenye wilaya yake.Matamshi ya Gwajima yaweza letelea vurugu katika wilaya yake ya kinondoni kati ya wakatoliki wanaomheshimu Pengo na wafuasi wa Gwajima waliokuwa wakishangilia wakati Pengo akiporomoshewa matusi ya nguoni.
HIVYO KUMWITA NI SAWA
Mkuu wa Wilaya Ni MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI sasa kama anaona hilo jambo linahatarisha amani ya eneo lake anaweza kuitisha kikao cha kamati kwa ajili ya kumshauri kuhusu jambo fulani na hatimaye kulifanyia maamuzi. Wajumbe wa kama ti ya ulinzi ni pamoja na Mkuu wa kituo cha polisi, Mkuu wa Magereza, Viongozi wa Dini na wengineo
Hiyo siyo kazi yake na yeye siyo polisi, kama anahitaji maelezo zaidi aende kwa Kova yameshatolewa.Mkuu wa wilaya ni mlinzi wa amani kwenye wilaya yake.Matamshi ya Gwajima yaweza letelea vurugu katika wilaya yake ya kinondoni kati ya wakatoliki wanaomheshimu Pengo na wafuasi wa Gwajima waliokuwa wakishangilia wakati Pengo akiporomoshewa matusi ya nguoni.
HIVYO KUMWITA NI SAWA
Mkuu wa wilaya ni mlinzi wa amani kwenye wilaya yake.Matamshi ya Gwajima yaweza letelea vurugu katika wilaya yake ya kinondoni kati ya wakatoliki wanaomheshimu Pengo na wafuasi wa Gwajima waliokuwa wakishangilia wakati Pengo akiporomoshewa matusi ya nguoni.
HIVYO KUMWITA NI SAWA
Yeah, Mkuu wa Wilaya ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani kwake. Maneno ya Gwajima yalikuwa yanahatarisha hali ya usalama ndani ya wilaya ya Kinondoni. Makonda yupo sahihi kumuita Gwajima, ingawa vita ya Membe na Lowasa inaweza ikawa inahusika pia!Hizi ndizo kazi za Mkuu wa Wilaya??
Yeye ni nani afike ofisini kwake
asipofika atamfanya nini? k