minuz
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 624
- 216
mnafiki ni aliyekutuma.....wenye akili wameshatambua .....wewe ni mtu wa aina gani.....na hata uwezo wako wakufikiri uko ktk level gani,,,.......ndo maana hatusbishani nawajinga........kunawanaojitambua na kutulia....hao tunawaelimisha....kapumzike ukishakuwa ...rudi tutakupa shule ya bure yakujitambua na kuchambua mambo....all da best
jibu hili swali,kwanini pengo hakusema usisomwe? unaona sasa aibu inayomkuta,mtu mzima anatukanwa kama mtoto,naona unarukaruka tu kaa kindege