Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Labda kamaanisha Msamaha wa Baba J unakuja Decemba 9
 
Sometimes kuna matamko mengine yanayotolewa na viongozi wetu huwa yanatia kichefuchefu....dady is coming, what do you mean....this is BS kabsa..tunaelewa kabsa sisi waTZ ni mabingwa wa kutafsiri,sasa hapo keshatafsiriwa kivingine ,huku nafasi yake kiserikali akiichafua
 
Anamaanisha asiogope kunamsamaha kutoka kwa baba ambao unaweza mrudisha uraiani....jamani ninaota kwa sauti msije mkaninukuu vibaya [emoji42][emoji42]
 
Inawezekana aliua kwa bahati mbaya,lakini jinsi Lulu alivyokuwa ana jibehave mahakamani wakati kesi inaendeleailikuwa ni dharau kwa mfumo wa mahakama
Pia kwa wapendwa wa Kanumba.labda kwa kuwa dady alimuahakikishia mahakama so lolote
 
Lulu lazma atetewe kwa nguvu zote na wenye akili, no mattter aliua au la alikuwa anajitetea asibakwe.....

Naungana na Makonda kumtetea Lulu, mtu asiye na hatia anafungwa miaka miwili... Shubamitty
Mtoto aliua mtu aliyekuwa akimbaka mara kwa mara!✍[emoji818]
 

Sasa huo ujumbe ..Lulu atausomea wapi????....Bashite bhana....
 
Reactions: bht
ATAMTOA MKUU KWA USHAWISHI WA BASHITE,BASHITE AKISEMA LAZIMA HIVYO,SIZO HANA UJANJA KWA BASHITE,YEYE NDIYE Anaewajua waganga wanamsaidia sizo.
 
Huu ujumbe aliomwandikia atausoma akiwa behind bars kuna free wifi huko
 
Kwa uandushi huu ndiyo umethubutisha pasipo shaka kuwa wewe ni dem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…