Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Safi tu Sio mbaya. Kuwa baba wa hihari Sio kosa. Kana ni baba wa ubatizo je! Tatizo ni uswahili
 
Nimeona Le mutuz analaumu Lulu kumuweka Kibatala kama wakili sababu ana siasa za upinzani!Kwa hiyo anataka kutuambia mahakama haziko huru zinaangalia aina ya wakili unayemtumia?Le mtumboz hakua smart kama anavyodai,watu wanaweza kuhis hukumu imeogopa kumpa sifa Kibatala
 
Reactions: bht
Haya yaliyo andikwa na Makonda siku ya Leo yana ukakasi sana
 
Reactions: bht
tuiachie sheria ichukue mkondo wake.. Kuna taratibu za kufanya kila kitu.. Kuna rufaa.... Lakini hata rufaa ikishindikana kuna parole......
Lulu ni mdogo wetu, rafiki yetu, mtoto wetu lakini juu ya yote ni mtu maarufu... Umaarufu wake usi jeopardize sheria taratibu na kanuni... Kuna mamia wenye kesi kama yake wanaozea selo bila kesi zao kusikilizwa... Nao wamezaliwa na mwanamke... Hawana tofauti na LULU... Lulu sio spesho mpaka awe juu ya sheria
Bashite ni mpuuzi apuuzwe... Ya lulu yanawapata mamia huko gerezani ila hawana mtetezi.... Huyo daddy wake kama zinamtosha hatafuata ushauri wa mtoto MPUMBAVU
 
jamaa ana uwezo mdogo sana wa kufirikia, kwa kiongozi kama yeye anatuma picha gani?Lulu aliua na amepata haki yake, muache atumikie abaki na amani yake for the rest of her life, let justice be served kuwa maarufu kwa huyu mtoto hakuondoi dhana ya uwajibikaji...then dady go for all who committed manslaughter, B is an idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…