Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

19260464_1553332318116946_5439185343481010110_n.jpg
 
Ingawa mimi nilipenda Lulu atoke ila kwa ili makonda kakosea, akae tu kimya sio kila lazima aongee.

Hivi hawezi msaidia mtu kimya kimya?
 
1. VIP cell ikoje? Nimeona mtu kai gusia huko nyuma ya uzi...
2. Kuna uwezekano mtu alie fungwa jela.. kutolewa nyakati za usiku ana kwenda kwake kulala na pengine kupata chakula kizuri , alfajiri ana rejeshwa jela tena? Mpaka muda wake utakapo isha wa hukumu?
3. Kuna uwezekano mtu kufungwa jela ila asiingie kabisa huko badala yake aka safirishwa kwenda sehemu za mbali kusiko julikana na akaishi huko mpaka hukumu yake iishe?

[HASHTAG]#Filamu[/HASHTAG] vs uhalisia.
 
Aiseeee yani kila nikisoma Comment zako Namuona Mange Kimambi.. Why why..
duh jamani wewe kama sio mara ya pili unaniambia basi ni mtu mwingine wa pili ananiambi a,acheni hizo bana,mi sio demu kwanza saa hii hapa mwanza kuna ka baridi nataka nikapige viroba vya empire nipate Yumani fesi nikapige papuchi ya kisukuma walau kibao kimoja
 
Ila Daddy naye,majuzi katetea muuaji Burundi aliyeua maskini wsaio na hatia asishatakiwe ICC leo anasubiriwa na mwana mfalme arudi tena kutetea muuaji mwingien,majaji wana kazi sana safari hii
 
_"Mtoto aliyekiuka protection ya wazazi, Mtoto aliyekua anaitwa “mke wangu” na anaitikia, Mtoto aliyeamua kuutumia muda wa usiku wa manane kutoka na marafiki na kupita kwa boyfriend wake; Sidhani watunzi wa sheria ya mtoto walikua wanamuongelea mtoto huyu Kama huyu atapewa lindo na sheria ya mtoto Basi wale watu wazima wenye tabia za kitoto ipo siku watajaa kwenye mahakama hizi na kudai lindo la sheria hiyo. Staki kufungua mlango huo."_

*Hon. Rumanyika J*


Nimemsoma sana Judge[emoji17][emoji17][emoji17]
Huyo ni mtoto 'msanii' mujuwe
 
duh jamani wewe kama sio mara ya pili unaniambia basi ni mtu mwingine wa pili ananiambi a,acheni hizo bana,mi sio demu kwanza saa hii hapa mwanza kuna ka baridi nataka nikapige viroba vya empire nipate Yumani fesi nikapige papuchi ya kisukuma walau kibao kimoja
Nimekusooooomaaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom