Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko mbalimbali ndani ya serikali yake imara na shupavu kwa kuwahamisha viongozi mbalimbali pamoja na kufanya uteuzi mpya.

Ambapo ni katika mabadiliko hayo yaliyoshuhudia Dunia ikitetemeka kama sumaku iliyokaribu na chuma au mtu aliyemwagiwa maji ya baridi sana wakati ni mgonjwa. Hii ni baada ya jina la Mwamba Mwenyewe,kijana jasiri kutoka kusini mwa jangwa la sahara na jabala la Siasa Mheshimiwa Paul Christian Makonda akipangiwa na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais kwenda kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.

kwa hakika wana Arusha wamepata jembe,wamepata kiongozi mchapa kazi,wamepata kiongozi jasiri ,shupavu,imara, madhubuti,hodari na asiye yumba wala kuyumbishwa.kiongozi mwenye misimamo thabiti na mwenye maono.wana Arusha wamependelewa na kupewa upendeleo wa kipekee sana.Ni bahati kwao kubwa sana kupelekewa Mheshimiwa Makonda mkoani kwao.

Kwa sababu ni mwisho wa watumishi wazembe,wavivu,wanaofanya kazi kwa mazoea,ni mwisho wa watumishi wadokozi kutoka halmashauri za jiji la Arusha,ni mwisho wa watumishi goigoi katika kuwahudumia wananchi,ni mwisho wa ubadhirifu wa pesa za umma,ni mwisho wa vilio vya wananchi wasiosikilizwa,ni mwisho kwa watumishi waliokuwa wamejisahau,ni mwisho kwa watumishi wa umma wanaofanya ofisi za umma kama mali zao binafsi na miungu watu,ni mwisho wa watumishi wenye viburi ,jeuri na majivuno .kwasababu anakuja Mwamba Mwenyewe ,jabali la majabali ,jeuri wa majeuri ,jasiri asiye na mfano .ni lazima MOTO wa maendeleo uwake Arusha kama nyota ya asubuhi.

Lakini ni mwanzo wa Arusha kupaa kimaendeleo kama ndege vita,ni mwanzo wa Arusha kushuhudia mafuriko na kumiminika kwa watalii katika jiji la Arusha,ni mwanzo wa kuona Arusha ikiongoza kwa mapato ya ndani,ni mwanzo wa kuona halmashauri za jiji la Arusha zikifanya vizuri kwa mambo mengi, ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likigonga vichwa vya habari katika Tv na magazeti kutoka ndani ya CNN marekani ,BBC uingereza,aljazira na vyombo vyote vikubwa Duniani.Ni mwanzo wakuona waandishi wote na vyombo vyote vya habari vya kimataifa vikiweka kambi mkoani Arusha ili kujifunza uongozi wa kusimamia maendeleo kutoka kwa Mwamba Paul Makonda.

Ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likiwa maarufu kupita hata majiji kama Washington DC Marekani au Paris Ufaransa au DUBAI au London uingereza au Vatican Italy au Amsterdam Uholanzi au Tokyo Japan au Jerusalem islael au Berlin ujeruman. Arusha inakwenda kuwa katika uso wa ulimwengu ,Arusha inakwenda kuwa katika vinywa na chaguo nambali moja la watalii, wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa kutoka kila kona ya Dunia.

Hii ni kwa kuwa Arusha inakwenda kuwa katika mikono salama ya Mheshimiwa Paul Makonda, kiongozi mchapa kazi na kiongozi Mbunifu sana na anayehitaji kuona matokeo yanapatikana kwa wakati.hapa kama nawaona vile watumishi mbalimbali katika jiji la Arusha wanavyotetemeka kama wagonjwa wa homa kali ,hasa wale wazembe ,hapa ni kama nawaona wanawanchi wa Arusha walivyolipuka kwa furaha baada ya kusikia uteuzi wa Mheshimiwa Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mheshimiwa Makonda ulipewa imani na heshima ya kipekee kutoka kwa Rais wetu mpendwa ya wewe kuwa mwenezi wa chama na kwa hakika uliitendea haki nafasi hiyo japo ni kwa muda mfupi ,lakini umeacha historia na alama ya kipekee kabisa.umeacha na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania,umekiacha chama kikiwa imara na mtetezi wa watanzania wanyonge na wasio na sauti,umekiacha chama kikiendelea kuwa tumaini na kimbilio la watanzania ,umekiacha chama salama na kwa hakika Watanzania watakukumbuka sana katika uongozi wako ndani ya chama.kwa hakika wanaccm tunasema asante Mheshimiwa Makonda kwa kazi kubwa uliyoifanya na namna ulivyojitolea kwa jasho kukipigania chama chetu.

Huna deni katika chama kwasababu ulitimiza wajibu wako kama kiongozi wetu ,umetufundisha mengi sisi wanachama wa CCM Nchi nzima, umetufundisha ujasiri na kutuonyesha nafasi ya chama katika kuisimamia serikali yake na kuwasemea watanzania,uliwaamsha viongozi waliokuwa wamelala maofisini na wakaanza kutoka kwenda kuwasikiliza wananchi.umekaa muda mfupi lakini matendo na kazi yako imekuwa ni kama umekaa karne nzima ndani ya CCM. Haijalishi umekaa muda gani lakini alama zako zitadumu daima na kubaki kama mfano wa kuigwa wa utumishi uliotukuka ndani ya chama chetu.

Nenda kamsaidie mama yetu na Rais wetu mpendwa Mama Samia Katika mkoa wa Arusha.usimuangushe katika imani hii kubwa ambayo ameendelea kukupatia.nenda kashirikiane na wote utakao wakuta,waheshimu wote,wapende wote,wathamini wote na watendee haki wote bila kujali hali zao za kiuchumi na hata itikadi za kisiasa kwa kuwa wote wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo yetu sote watanzania.nenda kawe mvumilivu,mwenye hekima, busara,upendo,staha,subira na mnyenyekevu.uongozi ni kujifunza,huwezi ukajuwa kila kitu na huwezi ukamaliza kila kitu kwa akili yako mwenyewe.hivyo panapohitaji msaada wa kimawazo usisite kuwashirikisha wenzako. Lakini kubwa kuliko yote nakuomba umtangulize Mungu kwa kila jambo na kuomba hekima zake kama alivyofanya mfalme Sulemani na hatimaye kuzidishiwa mengi.wewe ni hazina yetu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2949860View attachment 2949861View attachment 2949862
 
Mambo mengine yakupitage.

20240219_223624.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko mbalimbali ndani ya serikali yake imara na shupavu kwa kuwahamisha viongozi mbalimbali pamoja na kufanya uteuzi mpya.

Ambapo ni katika mabadiliko hayo yaliyoshuhudia Dunia ikitetemeka kama sumaku iliyokaribu na chuma au mtu aliyemwagiwa maji ya baridi sana wakati ni mgonjwa. Hii ni baada ya jina la Mwamba Mwenyewe,kijana jasiri kutoka kusini mwa jangwa la sahara na jabala la Siasa Mheshimiwa Paul Christian Makonda akipangiwa na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais kwenda kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.

kwa hakika wana Arusha wamepata jembe,wamepata kiongozi mchapa kazi,wamepata kiongozi jasiri ,shupavu,imara, madhubuti,hodari na asiye yumba wala kuyumbishwa.kiongozi mwenye misimamo thabiti na mwenye maono.wana Arusha wamependelewa na kupewa upendeleo wa kipekee sana.Ni bahati kwao kubwa sana kupelekewa Mheshimiwa Makonda mkoani kwao.

Kwa sababu ni mwisho wa watumishi wazembe,wavivu,wanaofanya kazi kwa mazoea,ni mwisho wa watumishi wadokezi kutoka halmashauri za jiji la Arusha,ni mwisho wa watumishi goigoi katika kuwahudumia wananchi,ni mwisho wa ubadhirifu wa pesa za umma,ni mwisho wa vilio vya wananchi wasiosikilizwa,ni mwisho kwa watumishi waliokuwa wamejisahau,ni mwisho kwa watumishi wa umma wanaofanya ofisi za umma kama mali zao binafsi na miungu watu,ni mwisho wa watumishi wenye viburi ,jeuri na majivuno kwasababu anakuja Mwamba Mwenyewe ,jabali la majabali ,jeuri wa jeuri ,jasiri asiye na mfano .ni lazima MOTO wa maendeleo uwake Arusha kama nyota ya asubuhi.

Lakini ni mwanzo wa Arusha kupaa kimaendeleo kama ndege vita,ni mwanzo wa Arusha kushuhudia mafuriko na kumiminika kwa watalii katika jiji la Arusha,ni mwanzo wa kuona Arusha ikiongoza kwa mapato ya ndani,ni mwanzo wa kuona halmashauri za jiji la Arusha zikifanya vizuri kwambo mengi, ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likigonga vichwa vya habari katika Tv na magazeti kutoka ndani ya CNN marekani ,BBC uingereza,aljazira na vyombo vyote vikubwa Duniani.Ni mwanzo wakuona waandishi wote na vyombo vyote vya habari vya kimataifa vikiweka kambi mkoani Arusha ili kujifunza uongozi wa kusimamia maendeleo kutoka kwa Mwamba Paul Makonda.

Ni mwanzo wa kuona jiji la Arusha likiwa maarufu kupita hata majiji kama Washington DC Marekani au Paris Ufaransa au DUBAI au London uingereza au Vatican Italy au Amsterdam Uholanzi au Tokyo Japan au Jerusalem islael au Berlin ujeruman. Arusha inakwenda kuwa katika uso wa ulimwengu ,Arusha inakwenda kuwa katika vinywa na chaguo nambali moja la watalii, wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa kutoka kila one ya Dunia.

Hii ni kwa kuwa Arusha inakwenda kuwa katika mikono salama ya Mheshimiwa Paul Makonda kiongozi mchapa kazi na kiongozi Mbunifu sana na anayehitaji kuona matokeo yanapatikana kwa wakati.hapa kama nawaona vile watumishi mbalimbali katika jiji la Arusha wanavyotetemeka kama wagonjwa wa homa kali ,hasa wale wazembe hapa ni kama nawaona wanawanchi wa Arusha walivyolipuka kwa furaha baada ya kusikia uteuzi wa Mheshimiwa Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mheshimiwa Makonda ulipewa imani na heshima ya kipekee kutoka kwa Rais wetu mpendwa ya wewe kuwa mwenezi wa chama na kwa hakika uliitendea haki nafasi hiyo japo ni kwa muda mfupi ,lakini umeacha historia na alama ya kipekee kabisa.umeacha na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania,umekiacha chama likiwa imara na mtetezi wa watanzania wanyonge na wasio na sauti,umekiacha chama kikiendelea kuwa tumaini na kimbilio la watanzania ,umekiacha chama salama na kwa hakika Watanzania watakumbuka sana katika uongozi wake ndani ya chama.kwa hakika wanaccm tunasema asante Mheshimiwa Makonda kwa kazi kubwa iliyoifanya na namna ulivyojitolea kwa jasho kukipigania chama chetu.

Huna deni katika chama kwasababu ulitimiza wajibu wako kama kiongo wetu ,umetufubdisha mengi sisi wanachama wa CCM Nchi nzima,umetufubdisha na kutuonyesha nafasi ya chama katika kuisimamia serikali yake na kuwasemea watanzania,uliwaamsha viongozi waliokuwa wamelala maofisini na wakaanza kutoka kwenda kuwasikiliza wananchi.umekaa muda mfupi lakini matendo na kazi yako imekuwa ni kama umekaa karne nzima ndani ya CCM. Haijalishi imekaa muda gani lakini alama zako zitadumu daima na ubaki kama mgao wa kuigwa wa utumishi uliotukuka ndani ya chama chetu.

Nenda kamsaidie mama yetu na Rais wetu mpendwa Mama Samia Katika mkoa wa Arusha.usimuangushe katika imani hii kubwa ambayo ameendelea kukupatia.nenda kashirikiane na wote utakao wakuta,waheshimu wote,wapende wote,wathamini wote na watendee haki wote bila kujali hai zao za kiuchumi na hata itikadi za kisiasa kwa kuwa wote wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo yetu sote watanzania.nenda kawe mvumilivu,mwenye hekima, busara,upendo,staha,subira na mnyenyekevu.uongozi ni kujifunza,huwezi ukajuwa kila kitu na huwezi ukamaliza kila kitu kwaajili yako mwenyewe.hivyo panapohitaji msaada wa kimawazo usisite kuwashirikisha wenzako. Lakini kubwa kuliko yote nakuomba umtangulize Mungu kwa kila jambo na kuomba hekima zake kama alivyofanya mfalme Sulemani na hatimaye kuzidishiwa wengi.wewe hazina yetu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Chawa jike unahangaika sana.
 
Awe makini. Dunia haina mwenyewe hii..mwenyewe ni Allah tu. Sabaya ......
 
Brother pdf yako ni ndefu sana.

Jitahidi kupunguza kwa kuandika key point fupifupi sana

Tutakuelewa huitaji nguvu sana kutushawishi juu ya utendaji maana tunaona kila kitu
Wala usijali ndugu yangu maana nimeweka na aya ambapo unaweza kusoma hadi pale uwezo wako unapoishia .asante hata hivyo kwa maoni yako .
 
Wewe jamaa msimu ujao nenda Mbarali kakamate shamba la mpunga ulime.
 
Mod futeni huu ujinga! Imenikumbusha JK aliwahi kutuambia Kigoma kuipiku Dubai🥶

Back
Top Bottom