Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Fala sana huyu jamaa.
Anaropoka kama kanyweshwa maji ya karo la bafu.
Kichwa cha habari tu ni ufala mtupu.
Au anachukulia watu hawaoni yaendeleayo na hatuna upembuzi yakinifu?
 
In
Fala sana huyu jamaa.
Anaropoka kama kanyweshwa maji ya karo la bafu.
Kichwa cha habari tu ni ufala mtupu.
Au anachukulia watu hawaoni yaendeleayo na hatuna upembuzi yakinifu?
Inafikirisha Sana mkuu,mwanaume wa dizain hii duh!.

Hajifunzi Kwa Mayalla,japo topic za Mayalla zinakuwa nzuri kiasi na zenye maono ila shida yake hajawahi kukemea maovu.Ambapo uchama+uchama unamwondolea maana halisia ya topic halisia.
Uchawa wa kishamba.

Kuimba na kuabudu chamani,ili m/kitu akufikilie🤔.
Aibu tupu.
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Arusha tayari ile ni state it has own sovereignty aje pole, nawe punguza ukiroboto
 
wale watengeneza pombe kali feki kiama chao kimewadia

akuna janjajanja kwenye biashara awamu hii wallah
 
Nonsense!...

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mtu hakutakiwa kupelekwa Arusha, na matukio yakianza kutokea Arusha ya kukuta Wapinzani wamepingwa na miili yao imetupwa Migombani basi Samia atakuwa anahusika moja kwa moja, na tutajua ndio maana hataki kumfungulia Jalada huyu pamoja na kulalamikiwa na Tundu Antipas Lissu.
 
Ondoa hapa mibangi yako nyumbu mkubwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…