Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

hahaha nakubali 😂😂
sasa rudisha utaratibu wa namba bahati yako isije kulaliwa mlango wazi
 
Ondoa hapa mibangi yako nyumbu mkubwa wewe.
 
Katika WAJINGA wa kiwango cha juu kwa sasa NCHINI ni pamoja na wewe
Makonda amekuwa Mkuu wa wilaya Kinondoni na Mkuu wa Mkoa Dsm kwa miaka zaidi ya 10 vipi hakuweza kulifanya JIJI la DSM likaizidi WASHINGTONE DC?
PUNGUZA UJINGA UNAKERA SANA
 
Katika WAJINGA wa kiwango cha juu kwa sasa NCHINI ni pamoja na wewe
Makonda amekuwa Mkuu wa wilaya Kinondoni na Mkuu wa Mkoa Dsm kwa miaka zaidi ya 10 vipi hakuweza kulifanya JIJI la DSM likaizidi WASHINGTONE DC?
PUNGUZA UJINGA UNAKERA SANA
Huwezi ukaelewa maana umejifukia akili yako huko namanyere.
 
 
Najuwa ukweli wangu unawaumiza sana wenye chuki binafsi na Mheshimiwa Makonda kiongozi kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Ujasiri wa kudhuru wasio waupande wako kisa una kinga ya dola?hata maana ya ujasiri hujui!
 
Najuwa ukweli wangu unawaumiza sana wenye chuki binafsi na Mheshimiwa Makonda kiongozi kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
We ni mtu mjinga, samahani kwa kukuambia ukweli.
Ulimsifia sana alipopewa jukumu la kitaifa kwa chama Tawala hadi akafikia hatua ya kuwaita na kuwapigia simu mawaziri na maRC leo kaondolewa hadhi hiyo bado una sifia tena? Upunguani mtupu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Machawa mna upimbi sana kipindi huyo mharifu yuko benchi mli mute na hata kumponda huyo bashite.Uchawa ni laana.
 
Nuksi Sana Tanzania
Uchawa Unalipa Sana Tanzania
 
Mwanangu sasa unazingua. Hata kama ni kusifu unapitiliza. Hata uliyemsifu atashangaa sana akisoma hapa. Kwa mwenye akili ataona huu uzi umejaa unafiki uliotukuka. Taratibu bro. Pia fuatilia siasa za CCM kwa undani ili ujue wakati wa kuongea na kunyamaza. Pia wewe sio wa Arusha acha kutusemea tuliozaliwa na kukulia Arusha. Mkoa na nchi kwa ujumla inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na sio matamko ya mtu mmoja. Mwisho kabisa kama una ndoto yoyote ya kufika mbali kisiasa badilisha mbinu... hii ya kusifu namna hii haipendwi na watoa maamuzi. Kila siku wanalaumiwa mno na wananchi kwahiyo hawawezi teua mtu anayesifu tu bila kujenga hoja madhubuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…