Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Ninachohofia ni jamaa asije akaanza kuwaomba omba hela watalii akachafua image ya nchi.
Maana record yake ya kuomba omba hela kwa matajiri na kuwanyan'ganya vitu vyao inafahamika.
Mheshimiwa Makonda ni mzalendo wa kweli na wala hana njaa hata kidogo,bali amekuwa ni kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa wenye shida.ndio maana unaonaga namna amavyowasaidia watu mbalimbali wenye shida wakiwepo wajane ,yatima,wazee na watu mbalimbali wenye shida.
 
Uandishi huu wa kichawa hakika binafsi sijaupenda. Ningefurahi zaidi sabaya pia angerejeshwa ulingoni kuwahudumia watanzania kwani wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi wanamuhitaji.
Mimi Daima ni msema kweli tu.
 
Kwa taarifa yako Makonda hana miezi 6 Arusha
 
Nadhani yuko hapo kimkakati kuhakikisha ccm inashinda mwaka 2025
 
Kwa taarifa yako Makonda hana miezi 6 Arusha
Wewe endelea kupiga Ramli ,ukija kushtuka ni 2025 mwishoni na CCM imezoa viti vyote vya udiwani ,ubunge na kuzoa kura zote za Urais na kumuapisha Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Kuwa Amiri jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
 
Lucas mtu anakuwa demoted ili nature ikamu eliminate kupitia Jiji lililogumu kutawaliwa na manyang'ao wa ccm we unajipa moyo mumeo huyo kupelekwa huko
 
Lukasi ni wakati sasa wa kusogea kwenye korido za Lumumba ,kulamba viatu .Huku mtandaoni kubali tu imeshindikana.
 
Lucas mtu anakuwa demoted ili nature ikamu eliminate kupitia Jiji lililogumu kutawaliwa na manyang'ao wa ccm we unajipa moyo mumeo huyo kupelekwa huko
Wewe endelea na swagga za Demotion lakini ukija kushtuka utabaki unacheka mwenyewe na kujiona huna akiliπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Yaan nilivyoona heading tu nikajua atakuwa Chawa LucasπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Pasaka njema kwenu wote, haina ubqguzi hii hadi kwa chawa.
 
Mkuu hzpo umeula wa chuya!
 
Acha upuuzi. Nionee wivu kusifu?
Sasa mkuu hapo umeonea wivu kufanya nini? Au wewe upendi CCM? Wewe upendi maendelea Mama Samia suluhu hassani? Wewe unampinga Mama Samia Suluhu Hassani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu nafasi aliyopewa ya ukuu wa mkoa ni ya utendaji, tena kimkoa.
Hivyo Makonda kafungwa speed gavana.
Mkuu wa uenezi hata waziri mkuu anaweza kujengewa hoja na chama!
Napenda kukwambia kuwa Utaiona Arusha kama na nchi kwa namna itakavyopiga hatua za kimaendeleo kwa haraka na kasi ya mwanga. Mhessimiwa Makonda ni kiongozi mchapa kazi na Mbunifu sana tena sana.
 
Namba ya simu umesahau kuweka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…