Ngete besa
Member
- Oct 18, 2022
- 61
- 141
Kwa utani kama huu bonyeza ccm. 🤣🤣🤣Ndio rais wako ajae kubali ukatae!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa utani kama huu bonyeza ccm. 🤣🤣🤣Ndio rais wako ajae kubali ukatae!!
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq
Updates...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amerejea kwenye majukumu yake ya kazi na kuibukia Airport.
Punguza hasira na kubali ukweli. Usijiue hiyo ndio dunia. Amin usiamin. UzurJF wana tunza sana documents.Labda Rais wa TFF
Huyu chizi hana bando[B]Lucas Mwashambwa[/B] njoo fasta tajiri yako amerudi uwahi vocha
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq
Updates...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amerejea kwenye majukumu yake ya kazi na kuibukia Airport.
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq
Updates...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amerejea kwenye majukumu yake ya kazi na kuibukia Airport.
Hata wewe uliyecomment unaingia humo humo.hata wanaomfuatili ni wajinga zaidi
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq
Updates...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amerejea kwenye majukumu yake ya kazi na kuibukia Airport.
Hata Mzee Mangula alilishwa sumu lakini hadi leo yupo anadunda.@britannica mkuu nauna umeumbuka na story zako uchwara! Nilikuambia huo ni uongo na bila Shaka umeumbuka
SaAtaficha wapi sura yake
Ndio rais wako ajae kubali ukatae!!
Hata Ambaruty nchi hii anaweza kuwa Rais na akapata chawa wa kumwambia anaupiga mwingi .Kwa Tanzania yeyote anaweza kuwa Rais. Urais ulishashuka hadhi.
Walishagombana Lucas Mwashambwa akachukuliwa na David Kafulila. Ndo maana ni muda sasa humwoni akimpamba Makonda. Sasa hivi Kafulila ndo anajishindia kwa dogoLucas Mwashambwa tajiri yako amerudi wahi vocha
View: https://www.youtube.com/live/IHztQrYAF0g?si=aTpKZrIJOrQWndNq
Updates...
Kumepita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda lakini leo Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.