Kabisa Mkuu.Hata jiji la Mwanza wameamua kuachana kabisa na upuuziUjinga huo huo ndio ulitokea Kwa Sugu akiwa Mbeya.Hatutaki tena saizi tunatamba naTulia na SSH ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu.Hata jiji la Mwanza wameamua kuachana kabisa na upuuziUjinga huo huo ndio ulitokea Kwa Sugu akiwa Mbeya.Hatutaki tena saizi tunatamba naTulia na SSH ๐๐
Rome haikujengwa siku moja Mangi,jiji la Arusha limeanza kupiga hatua siku nyingi na hawa wenzetu pia watafika huko.Si umeona Iringa na Songea wako wapi ukilinganisha na miaka kumi iliyopita?Geita na Shinyanya hawana majungu wala hawajaendekeza siasa ila barabara zao mbovu sijui na wenyewe kosa Lao lipi
Kama mliyajua hayo hawatengenezi Bajeti mliwachagua wa nini? ๐๐Aombe kwa Chadema kwani wao ndo wanatengeneza bajeti za Wizara!
CHama kina watu wajinga asee ukitaka kuamini waweke njevya systemHuyu mjinga hajui kuwa barabara bora ni haki ya kila mwananchi.
Si zawadi kwa anayejipendekeza kwa viongozi.
Mwaka 2015 Mahakama Kuu ya Bombay India ilitoa hukumu kwamba barabara nzuri zisizo na mashimo ni haki ya uraia kwa kila mtu.
Mwanzoni mwa karne ya 20 Marekani kulikuwa na "The Good Roads Initiative" iliyitaka kuunganusha sehemu zote za vijijini kwa barabara nzuri.
Yani Makonda bado hajafika wenzetu walipokuwa miaka 100 iliyopita.
Hizi kauli za Makonda ni za mtu ambaye hajaelimika, analimbuka bado.
Kwahiyo walikufa kwa maombi ya Lema?Acha fujo huyo si alikua anaombea wenye mamlaka wafe ?hivi hata kama ungekuwa ni wewe ukafanya nini ?
Huyu mpumbavu bado anaendekeza zile siasa uchwara za Magufuli za kupeleka huduma kwa upendeleo kana kwamba hao anaowanyima hizo huduma siyo walipa kodi.Huyu mjinga hajui kuwa barabara bora ni haki ya kila mwananchi.
Si zawadi kwa anayejipendekeza kwa viongozi.
Mwaka 2015 Mahakama Kuu ya Bombay India ilitoa hukumu kwamba barabara nzuri zisizo na mashimo ni haki ya uraia kwa kila mtu.
Mwanzoni mwa karne ya 20 Marekani kulikuwa na "The Good Roads Initiative" iliyitaka kuunganusha sehemu zote za vijijini kwa barabara nzuri.
Yani Makonda bado hajafika wenzetu walipokuwa miaka 100 iliyopita.
Hizi kauli za Makonda ni za mtu ambaye hajaelimika, analimbuka bado.
Hao ccm na kukusanya kodi kwa miaka 60+ wamefanya nini cha maanaKama mliyajua hayo hawatengenezi Bajeti mliwachagua wa nini? ๐๐
Mliwachagua Huwa wanatekeleza ilani ya chama gani?
Ujinga huo huo ndio ulitokea Kwa Sugu akiwa Mbeya.Hatutaki tena saizi tunatamba naTulia na SSH ๐๐
Kama mliyajua hayo hawatengenezi Bajeti mliwachagua wa nini? ๐๐
Mliwachagua Huwa wanatekeleza ilani ya chama gani
Zimeanza Sasa wakati Tulia NJ Mbunge.Hilo Jimbo Sugu amekuwa Mbunge Toka uhuru? Kwamba Barbara zianze kutengeneza Sasa?. Acheni unafiki.
Sio kweli hata kidogo ,yeye aliendekeza siasa za uwanaharakati bungeni na kwenye mitandao hakupata muda wa kufuatialia mambo ya msingi aisee.Jitu zima linakesha mitanadona kulaani wakubwa zake mara watakufa na ujinga mwingine kama huo.SAD
Wabunge mbaochagua Ili wakatekeleze ilani za chama gani?Sisi tunachagua wabunge, hatuchagui mawaziri.
Lini uliona kuna ballots za kuchagua mawaziri?
Mkuu, hiyo ni Civics darasa la tatu!
Anatakiwa aombe Kwa Chadema,anaomba Kwa CCM tena? ๐๐
Hivi hujui kuwa huyu chizi hadi alipewe jina la nabiii ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธUna tweet au video yoyote inayoosupport accusations zako mkuu?
And what does that have to do with what we are talking about?
Acha fujo huyo si alikua anaombea wenye mamlaka wafe ?hivi hata kama ungekuwa ni wewe ukafanya nini ?
Unaumia kwa lema kuitwa nabii tunasafari ndefu sana kama taifaHivi hujui kuwa huyu chizi hadi alipewe jina la nabiii ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Acha uchizi Mangi ,alipokuwa anaomba kura za ubunge aliahidi wanchi kitu gani ?kama sio kazi ya mmbunge kuwakilisha wanachi bungeni kwa niaba unadhani kazi ya ubunge ninkwenda kunywa chai ehe?Kwa hivyo TANROADS, Waziri, Rais hawawezi kujenga barabara mpaka Mbunge awafuatilie?. Tuache siasa za kijinga kana kwamba wengine ni watanzania na wengine sio. Kondoa ninapoishi ni CCM tangu uhuru ila barabara za hovyo.