Pre GE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Geita na Shinyanya hawana majungu wala hawajaendekeza siasa ila barabara zao mbovu sijui na wenyewe kosa Lao lipi
Rome haikujengwa siku moja Mangi,jiji la Arusha limeanza kupiga hatua siku nyingi na hawa wenzetu pia watafika huko.Si umeona Iringa na Songea wako wapi ukilinganisha na miaka kumi iliyopita?
 
Aombe kwa Chadema kwani wao ndo wanatengeneza bajeti za Wizara!
Kama mliyajua hayo hawatengenezi Bajeti mliwachagua wa nini? πŸ˜†πŸ˜†

Mliwachagua Huwa wanatekeleza ilani ya chama gani?
 
Acha fujo huyo si alikua anaombea wenye mamlaka wafe ?hivi hata kama ungekuwa ni wewe ukafanya nini ?

Una tweet au video yoyote inayoosupport accusations zako mkuu?

And what does that have to do with what we are talking about?
 
CHama kina watu wajinga asee ukitaka kuamini waweke njevya system
 
Huyu mpumbavu bado anaendekeza zile siasa uchwara za Magufuli za kupeleka huduma kwa upendeleo kana kwamba hao anaowanyima hizo huduma siyo walipa kodi.
 
Kama mliyajua hayo hawatengenezi Bajeti mliwachagua wa nini? πŸ˜†πŸ˜†

Mliwachagua Huwa wanatekeleza ilani ya chama gani?
Hao ccm na kukusanya kodi kwa miaka 60+ wamefanya nini cha maana
Mabarabara ambayo yakijengwa baada ya miaka mitano yamejaa masimo
Acha uzwazwa
 
Hilo Jimbo Sugu amekuwa Mbunge Toka uhuru? Kwamba Barbara zianze kutengeneza Sasa?. Acheni unafiki.
Zimeanza Sasa wakati Tulia NJ Mbunge.

Miaka 10 ya Sugu ziliota mbawa ,miaka mingine ya CCM zilijengwa.
 
Sio kweli hata kidogo ,yeye aliendekeza siasa za uwanaharakati bungeni na kwenye mitandao hakupata muda wa kufuatialia mambo ya msingi aisee.Jitu zima linakesha mitanadona kulaani wakubwa zake mara watakufa na ujinga mwingine kama huo.SAD

Kwa hivyo TANROADS, Waziri, Rais hawawezi kujenga barabara mpaka Mbunge awafuatilie?. Tuache siasa za kijinga kana kwamba wengine ni watanzania na wengine sio. Kondoa ninapoishi ni CCM tangu uhuru ila barabara za hovyo.
 
Sisi tunachagua wabunge, hatuchagui mawaziri.

Lini uliona kuna ballots za kuchagua mawaziri?

Mkuu, hiyo ni Civics darasa la tatu!
Wabunge mbaochagua Ili wakatekeleze ilani za chama gani?

Wakapeleke shida zenu Kwa Mawaziri wa Chama gani?
 
Una tweet au video yoyote inayoosupport accusations zako mkuu?

And what does that have to do with what we are talking about?
Hivi hujui kuwa huyu chizi hadi alipewe jina la nabiii πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Acha fujo huyo si alikua anaombea wenye mamlaka wafe ?hivi hata kama ungekuwa ni wewe ukafanya nini ?

Sio kwamba aliombea, aliota Magufuli atakufa. Na kweli ndoto yake ikaja ikawa kweli. Kosa lake lipo wapi?. Halafu mambo personal usipeleke kwenye maendeleo ya umma.
 
Kwa hivyo TANROADS, Waziri, Rais hawawezi kujenga barabara mpaka Mbunge awafuatilie?. Tuache siasa za kijinga kana kwamba wengine ni watanzania na wengine sio. Kondoa ninapoishi ni CCM tangu uhuru ila barabara za hovyo.
Acha uchizi Mangi ,alipokuwa anaomba kura za ubunge aliahidi wanchi kitu gani ?kama sio kazi ya mmbunge kuwakilisha wanachi bungeni kwa niaba unadhani kazi ya ubunge ninkwenda kunywa chai ehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…