Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Mkuu 'goodluck5'. Kura alizopata wewe hazikukustua?
hazijanistua hata kdg, bashite kapata kura kiduchu sana (achilia mbali ile kushindwa uchaguzi) kwa nafasi yake kama RC wa eneo ambalo uchaguzi umefanyika alikuwa akipiga kampeni sana tu kuliko hata hao wenzie kuelekea uchaguzi wenyewe we fuatilia utapata taarifa vizuri.

pia matumizi makubwa ya kuwapa rushwa wajumbe...sababu hz mbili zinanifanya kuamini kuwa amepata kura chache mno kwa nguvu kubwa aliyotumia, angepata kura 180+ hapo ningestuka.
 
Kwa hiyo unataka kusema kama asingetoa rushwa angekura 00 au sio. Maana kama katoa rushwa kapata 122 je asingetoa???? Shikamoo wajumbe kwa maamzi ya nguvu.

Kigamboni ni sehemu ya kuigwa maana walijua hadi konda boy atoe rushwa meanz hajiamini hivyo kupeleka mjengoni mtu mwenye IQ range to 30 ni kuharibu jimbo lenye historia ya daraja bora
 
hazijanistua hata kdg, bashite kapata kura kiduchu sana (achilia mbali ile kushindwa uchaguzi) kwa nafasi yake kama RC wa eneo ambalo uchaguzi umefanyika alikuwa akipiga kampeni sana tu kuliko hata hao wenzie kuelekea uchaguzi wenyewe we fuatilia utapata taarifa vizuri.

pia matumizi makubwa ya kuwapa rushwa wajumbe...sababu hz mbili zinanifanya kuamini kuwa amepata kura chache mno kwa nguvu kubwa aliyotumia, angepata kura 180+ hapo ningestuka.
Nimekusoma vizuri kabisa na kukuelewa mkuu wangu 'goodluck5'.

Maelezo yako yanajitosheleza kabisa.
 
Back
Top Bottom