Kwani we Mungu?Kwisha habari yake
Kushindwa kura ya maoni sio mwisho wa maisha
Mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu kama mamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we Mungu?Kwisha habari yake
Mie toka matokeo yatangazwe hizi clips nilicheka had kichwa kinaanza kuuma..Jana nzima nacheka km mwehu.leo sitak kbs kuzifungua aisee..Ndugu...
Yaani nacheka mpaka nashindwa kukomenti
hata apewe unaibu waziri mkuu Jiwe atajua mwenyewe MUHIMU ni kwamba ujumbe kaupata kwamba mbebwaji hakubaliki!.
Vipi mbona umepanic???Kwani we Mungu?
Kushindwa kura ya maoni sio mwisho wa maisha
Mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu kama mamba
Mkuu 'goodluck5'. Kura alizopata wewe hazikukustua?hata apewe unaibu waziri mkuu Jiwe atajua mwenyewe MUHIMU ni kwamba ujumbe kaupata kwamba mbebwaji hakubaliki!.
Itabidi arudi mkoani maana hana kazi hapa Dar
.Kama siasa hamziwezi mkaage kimya tu, nani alikwambia ukipata kura nyingi ushakuwa mgombea.
Kwa taarifa yko kamati ya siasa ya mkoa, imemuweka pembeni ndugulike kabla hata ya kamati kuu.
Jiandaeni kuja na matusi, maana makonda ndo mbunge wa kigamboni , wananchi wapiga kura ndo wanaomuhitaji nasiyo kamati hiyo ya laki moja moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Adui yako muombee kura za maoni