Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

duuuh
Screenshot_20200722-103302.png
Screenshot_20200722-103302.png
 
MTAUA WATUMISHI WA MUNGU JAMAN WE SIASA MBONA HIVI JAMAN EMBU TUACHENI TUNYWE DOMPO KHA
 
Itabidi arudi mkoani maana hana kazi hapa Dar

Kama siasa hamziwezi mkaage kimya tu, nani alikwambia ukipata kura nyingi ushakuwa mgombea.

Kwa taarifa yko kamati ya siasa ya mkoa, imemuweka pembeni ndugulike kabla hata ya kamati kuu.
Jiandaeni kuja na matusi, maana makonda ndo mbunge wa kigamboni , wananchi wapiga kura ndo wanaomuhitaji nasiyo kamati hiyo ya laki moja moja.
 
.
images%20(74)_1595259107682.jpg
 
Hakuna jimbo gumu DSM kama la Kigamboni toka enzi za Kitwana Kondo!! Wasiojua historia lazima waumbuke!!

Unavamia jimbo as if unafumania...!! Njoo kwa adabu onana na wazee watakupa utaratibu....tatizo vijana wa sasa ni papara mingi..kisa hela!! Haya sasa
 
Nimepata pole nyingi sana kutokana na matokeo ya jana, kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na maombi yenu ya kunitakia mafanikio katika kutimiza NDOTO yangu” - Paul Makonda aliyekuwa RC DSM.

Jambo moja kubwa, muhimu ni kuyajua mapenzi ya Mungu na ktk hili mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu, nawatakia baraka na afya njema siku zote za Maisha yenu, Asanten sana WanaKIGAMBONI kwa upendo wenu na kunipa nafasi niwe sehemu ya Maisha yenu -@makonda_paul
 
Hata Hitler alikuwa na ndoto za maendeleo ya Wajerumani wenzake.
 
Naona kama amechokwa. Hana chemistry nzuri na wananchi.
 
Life is one Big road with lot's of sign,So when you riding through the ruts,don't complicate ur mind,flee from hate,mischief and jealously,Don't bury ur thoughts,put ur vision to reality,
Wake up and live,
Bob Marley.
 
Hajawahi kuwa na ndoto ya maendeleo ya watanzania zaidi ya tumbo lake ndo maana mambo yake mengi amekuwa akiyatenda bila kutumia hekima. Tena kwa kiburi kingi kilichoandamana na tharau na kujisifu kulikopitiliza
 
Back
Top Bottom