Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Mkuu hivyo vyombo si tunavyo miaka yote avijawai kutusaidia chochote ktk drugs issue na zaidi utakuta ndio vinawalinda drugs Lord. ..ili swala vijana ndio tuna hasira nalo zaid hao wazee wanafiki tu Amina chifupa alipopata nafasi ya kuingia bungeni alitaka kutumbua km hivi alivyofanya makonda...wapi mangwea' langa, chid, daz baba, dogo mfaume, feruzi, chuji, diofu, nguvu kazi inakufa source ni hawa hawa wabunge, makamishina, mapolis, majaji, wazee kujiingiza ktk biashara za madawa
 
Mi ni mkristi na nimeokoka ila namuogopa sana mtu anayejificha na kivuli cha Imani na kujitia mwokovu sana.....
Hayupo ntu duniani anayejijuwa kuwa ameokoka.Mungu pekee ndiye anayejuwa na ameokoka.
 
watu wanadhani intelligence system inafanya kazi blindly

kuropoka, kutaja taja, kutamka, kusema majina ya watu kuwa ni wahusika katika biashara ya mihadharati bila ushaidi wowote ni wazimu. the so called intelligence system in blind.

kama mkuu wa mkoa anafanya kazi ya waziri wa mambo ya ndani, jeshi la polisi, takukuru, na kitengo cha madawa ya kulevya , then what do we expect? . system failure.
 
Hawa watu wanaopenda kumtaja Mungu kila SAA wana walakini na wanafiki tu wamtumia Mungu ka chaka lakufichia tabia zao. Huyu makonda hupost nyimbo za Mungu lakini anachepuka na masogange
kweli kabisa hata wakina Ngwajima na Lusekelo na Tb Joshua
 
aliyekwambia ushahidi hakuna ni nani?
 
Hivi Sugu si keshamwambia na yeye atajwe na Migwangala kwenye media ili akaripoti Polisi kwa tuhuma za uchoko halafu akapimwe na marinda

Jiwe limeshampata

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
kwani sugu amesemaje? katajwa kwenye nini? kwani kutajwa au kuhisiwa tu unaripoti kituoni? hahaha mbona mkuki kwa nguruwe?
 
Tatizo lake badala ya kukamata wauza madawa yeye anakamata wavutaji.
 
Shujaa yeyote hajawahi kupambana peke yake!
 
Gwajima
 
Wewe mkojo hautakuingia?!
 
Hivi Sugu si keshamwambia na yeye atajwe na Migwangala kwenye media ili akaripoti Polisi kwa tuhuma za uchoko halafu akapimwe na marinda

Jiwe limeshampata

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa kweli Bunge letu nalo sasa limekosa staha kabisa, yaani na spika yuko mbele anaruhusu kabisa mtu anaongea matusi machafu namna hiyo? na wabunge wenzie wanakenua, wanashangilia kabisa! kwakweli hakuna kitu hapo. Hawa ndiyo walikuwa wanapiga kelele waoneshwe Live! ili watushirikishe lugha chafu kama hizo? Matusi kama hayo inamaana unamtokana na aliyemteua kwamba hayuko makini na teuzi zake halkadhalika wakazi wa Dar es salaam kwamba kiongozi wao ndiyo yuko hivyo na kumtii kiongozi wa hivyo basi nawe kwa njia moja au nyingine ni mshirika wake!
 
yaani natamani wabunge wote walazimishwe kila mmoja amtaje angalau Dealer mmoja maana wakitajiwa wanabisha na kuleta siasa zao za uongo na ukweli. Sasa kwa kuwa hao waliotajiwa wanaona ni longolongo inamaana wanamajina wanayowataka wao yatajwe kwahiyo upitishwe utaratibu wataje wao, maana wao si wanakinga? wakitaja huko kwenye Mjengo wao hakuna wa kuwauliza!
 
Thou shalt not take the name of the LORD thy God in vain; for the LORD will not hold him guiltless that taketh his name in vain.
Exodus:20:7
 
Cha kwanza kabisa, akubali kwenda kwa Mganga Mkuu Wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…