Wabunge wenyewe drugs dealers na Ma drugs lord wote wabunge wanawajua na awajawai kujaribu kuwakemea,kuwazuia, kuwataja na Tanzania ajawai kufanyika Approach yoyote nzur ktk swala la drugs..mapolis wote, majaji wote, makamishina wote wanajua ni watu gani wanaingza na kusambaza madawa.
mwananch wa kawaida tu mtaani anajua nani Punda, nani kipunda na nani mswaga Punda..alichofanya makonda ni sawa tu ni bora kuwataja tu maana wauza madawa wanalindwa na wabunge,mapolis , IGP amesimamisha mapolis kazi wakati swala la makomeo,JB, Swai linajulikana toka miaka ya 2000 kuwa wanashirikiana na Mapusha wa unga.
.ni kweli Makonda amekosea sehem ila asingeweza kupatia kama wahusika wa moja kwa moja nao ni sehem ya madawa sasa swala la madawa linakwenda kinafiki ila alivyowataja ni sawa tu iwe kwa faida yake au kwa faida ya vizazi vyetu