Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Kuendesha kimizuka... Namshauri jamaa akasome shule kwanza... maana naona Kawahi sana job... Ni aibu kila utakalo anzisha lina fail...
and then bado unadai unae Mungu na sijui anazungumzia Mungu wa Baniani Bagwan au Wa wakristo Jesus,au Waislam Allah, au wa wayahudi YHWH au wamisri isis au wa wagiriki Aphrodite
 
Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!

Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??

Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
Ungekuwa unafatilia kidogo tu usingeandika haya, Wema katoka na kapewa amri ya kutoongea na waandishibwa habar jambo lolote mpaka mahakama itakavyoamua vingine, sasa ulidhani angeongea nini kwa amri hiyo ya mahakama?
 
Sababu anayo kesi ya kujibu, hujui sheria nini ata km siyo mwanasheria uleyman wako umezidi ata bunge linakatazwa kuzungumzia jambo liliko mahakamani kama halijatolewa maamuzi. But siyo wote walioishia kwenda mahakamani polis hawana mamlaka hayo.
 
Enz za JK kuna watu walituaminisha hii nchi imeoza imeisha kabisa watu hao hao sasa wanadai nchi ilikuwa poa ila kuna watu wanaibomoa sasa
 
Sababu anayo kesi ya kujibu, hujui sheria nini ata km siyo mwanasheria uleyman wako umezidi ata bunge linakatazwa kuzungumzia jambo liliko mahakamani kama halijatolewa maamuzi. But siyo wote walioishia kwenda mahakamani polis hawana mamlaka hayo.
Sasa kama unajua hivyo ulikuwa unauliza nini kuwa mbona hawasemi chochote kuwa wanaonewa? Unataka kujifanya mjuaji kumbe empty, na nani kakwambia ukiwa na kesi mahakamani unakuwa mkosaji moja kwa moja?
Tumia akili ya ziada kabla hujahoji kitu.
 
Mkuu umo na wewe kwenye idadi ya wauza ngada maana si kwa povu hilo
emoji115.png
emoji115.png
nimesema, asimhusishe Mungu kwenye huo utumbo, kwa matendo yake aache mambo ya kaisari yafanyike kikaisari
Hawa watu wanaopenda kumtaja Mungu kila SAA wana walakini na wanafiki tu wamtumia Mungu ka chaka lakufichia tabia zao. Huyu makonda hupost nyimbo za Mungu lakini anachepuka na masogange
Ajikwezaye atashushwa, ajishushaye atakwezwa, Neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, hili ni tunda mojawapo la Roho Mtakatifu. kuwa mnyenyekevu.

Mika 6:6-8, Nimkaribie Bwana na kitu gani, na kuinama mbele za Mungu aliye juu? Je! Nimkaribie na sadaka za kuteketezwa, na ndama za umri wa mwaka mmoja? Je Bwana atapendezwa na elfu za kondoo waume, au na elfu kumi za mito ya mafuta? Je ni mtolee mzaliwa wangu wa kwanza kwa kosa langu, mzao wa mwili wangu kwa dhambi ya roho yangu? Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na Bwana anataka nini kwako? Ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.

Yakobo 4:6-10, 1Petro 5:5, Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. Jidhilini mbele za Mungu naye atawakuza.

Yakobo 4:6, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Basi, mtiini Mungu. Mpingeni shetani naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu. Jidhilini mbele za Bwana naye atawakuza.

Zaburi 18:27, God rescues the humble and puts down those who are proud. Mungu huwaokoa watu wanaoonewa, na macho ya kiburi atayadhili.

Zaburi 138:6, Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyeyekevu, naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali. Though you are above us all, you care for humble people, and you keep a close watch on everyone who is proud. Our God cares for humble people.

Zaburi 149:4, Kwakuwa Bwana awaridhia watu wake, huwapamba wenye upole kwa wokovu. The Lord is please with his people, and he gives victory to those who are humble.

Mithali 3:34, Mungu huwadharau wale wanaomdharau yeye, bali huwapa wale wanaoonyesha unyenyekevu na heshima kwake neema. The Lord sneers at those who sneer at him, but he is kind to everyone who is humble.

Mithali 11:2, Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu, bali hekima hukaa na wanyenyekevu. Pride can put you to shame, it is wiser to be humble.

Mithali 15:33, Kumcha Bwana ni maonyo ya hekima, na kabla ya heshima, hutangulia unyenyekevu. Showing respect to the Lord will make you wise, and being humble will bring honour to you.

Isaya 57:15, maana yeye aliye juu aliyetukuka, akaaye milele, ambaye jina lake ni mtakatifu asema hivi, nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu, tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu. Our Holy God lives forever in the highest heavens, and this is what he says; though I live High above in the Holy place, I am here to help those who are humble and depend only on me. If you depend only on God, God will help you. Do not depend on other things other than God.

Isaya 66:2, Maana mkono wangu ndio uliofanya hivi vyote, vitu hivi vyote vikapata kutokea, asema Bwana; lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu. The people I treasure most are humble, they depend only on me and tremble when I speak.those who are humble and obey his voice/word. May God bless you. Amin.
 
Sasa kama unajua hivyo ulikuwa unauliza nini kuwa mbona hawasemi chochote kuwa wanaonewa? Unataka kujifanya mjuaji kumbe empty, na nani kakwambia ukiwa na kesi mahakamani unakuwa mkosaji moja kwa moja?
Tumia akili ya ziada kabla hujahoji kitu.
Kilichopo kila anayesubiria kwenda mahakamani inamanisha ipo kesi ya kujibu..! Nataka nione anayedai hakukutwa na hatia aseme tujue kaonewa wapi
 
asimhusishe Mungu kwenye huo utumbo wake, yule dogo amejaa wivu, roho chafu, chuki, visasi na anatumiwa na shetani tu. kwani haendi kwa waganga yule? au anataka yafumuliwe mambo humu siri zake?
Tumefika huko tena? Kweli ukistaajabu ya musa utaona ya filauni. Acha maneno leta muziki
 
Kilichopo kila anayesubiria kwenda mahakamani inamanisha ipo kesi ya kujibu..! Nataka nione anayedai hakukutwa na hatia aseme tujue kaonewa wapi
Kwa unavyojua wewe kila kesi inapokuwa mahakamani basi muhusika ana makosa moja kwa moja? Vip Gwajima kafunguliwa kesi mahakama gani na inahusu nini?
 
Kwa unavyojua wewe kila kesi inapokuwa mahakamani basi muhusika ana makosa moja kwa moja? Vip Gwajima kafunguliwa kesi mahakama gani na inahusu nini?
Unaelewa tofauti kati ya kesi na hatia? Kufungua kesi inamanisha kuna kesi/jambo unatakiwa kujibu kiufupi nipotezee unanisumbulia kichwa tu hapa kwa ubungo wako kiduchu.
 
Mbwa mwitu c vilaza waliopo humu JF.
Mbowe akisema njaa.bas wao n njaaa njaaaaa njaaa njaaaaaaaaa
: Ni kama spika za msikitin.
 
Unaelewa tofauti kati ya kesi na hatia? Kufungua kesi inamanisha kuna kesi/jambo unatakiwa kujibu kiufupi nipotezee unanisumbulia kichwa tu hapa kwa ubungo wako kiduchu.
Una akili ndogo sema tu hujijui, soma ujinga wako wa mwanzo huko juu ndio uje useme tena hapa.
Hujui chochote na ukijua utaacha ujinga, sio kila anayefunguliwa kesi ana cha kuijbu ndio maana saa nyingine mahakama zinatupilia mbali ujinga huo bila hata kumuomba mtuhumiwa ajibu chochote.
Kwahiyo siku nyingine uwe na akili sio kila anayebyamaza kuzungumzia kitu alichotuhumiwa nacho inamaanisha alichotuhuniwa nacho ni kweli.
 
Eti shauku ya mungu na rais wetu.ni kuona Tanzania haina madawa ya kulevya.WEWE UNAIJUA SHAUKU YA MUNGU WA MBINGUNI MAKONDA?acha kujidharirisha.au unamaanisha mungu yupi?au ambaye ukisimama amesimama yeye.mungu wa dar es salaam.?
 
Back
Top Bottom