obi's
JF-Expert Member
- Dec 24, 2011
- 233
- 40
Hakuna la maana zaidi ya kujikweza! Na wajikwezao hushushwa[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ogopa sana mtu anaye mtaja Mungu majukwani kama kichaka cha kujificha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna la maana zaidi ya kujikweza! Na wajikwezao hushushwa[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ogopa sana mtu anaye mtaja Mungu majukwani kama kichaka cha kujificha
Uanze kulaaniwa wewe!Munaompinga makonda mupo ktk makundi haya....
Mateja
Mapunda
Wauza ngada
Mungu atawalaani wote .......
Ungekuwa unafatilia kidogo tu usingeandika haya, Wema katoka na kapewa amri ya kutoongea na waandishibwa habar jambo lolote mpaka mahakama itakavyoamua vingine, sasa ulidhani angeongea nini kwa amri hiyo ya mahakama?Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!
Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??
Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
Sababu anayo kesi ya kujibu, hujui sheria nini ata km siyo mwanasheria uleyman wako umezidi ata bunge linakatazwa kuzungumzia jambo liliko mahakamani kama halijatolewa maamuzi. But siyo wote walioishia kwenda mahakamani polis hawana mamlaka hayo.Ungekuwa unafatilia kidogo tu usingeandika haya, Wema katoka na kapewa amri ya kutoongea na waandishibwa habar jambo lolote mpaka mahakama itakavyoamua vingine, sasa ulidhani angeongea nini kwa amri hiyo ya mahakama?
Sasa kama unajua hivyo ulikuwa unauliza nini kuwa mbona hawasemi chochote kuwa wanaonewa? Unataka kujifanya mjuaji kumbe empty, na nani kakwambia ukiwa na kesi mahakamani unakuwa mkosaji moja kwa moja?Sababu anayo kesi ya kujibu, hujui sheria nini ata km siyo mwanasheria uleyman wako umezidi ata bunge linakatazwa kuzungumzia jambo liliko mahakamani kama halijatolewa maamuzi. But siyo wote walioishia kwenda mahakamani polis hawana mamlaka hayo.
nimesema, asimhusishe Mungu kwenye huo utumbo, kwa matendo yake aache mambo ya kaisari yafanyike kikaisariMkuu umo na wewe kwenye idadi ya wauza ngada maana si kwa povu hilo![]()
![]()
Ajikwezaye atashushwa, ajishushaye atakwezwa, Neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, hili ni tunda mojawapo la Roho Mtakatifu. kuwa mnyenyekevu.Hawa watu wanaopenda kumtaja Mungu kila SAA wana walakini na wanafiki tu wamtumia Mungu ka chaka lakufichia tabia zao. Huyu makonda hupost nyimbo za Mungu lakini anachepuka na masogange
Kilichopo kila anayesubiria kwenda mahakamani inamanisha ipo kesi ya kujibu..! Nataka nione anayedai hakukutwa na hatia aseme tujue kaonewa wapiSasa kama unajua hivyo ulikuwa unauliza nini kuwa mbona hawasemi chochote kuwa wanaonewa? Unataka kujifanya mjuaji kumbe empty, na nani kakwambia ukiwa na kesi mahakamani unakuwa mkosaji moja kwa moja?
Tumia akili ya ziada kabla hujahoji kitu.
Tumefika huko tena? Kweli ukistaajabu ya musa utaona ya filauni. Acha maneno leta muzikiasimhusishe Mungu kwenye huo utumbo wake, yule dogo amejaa wivu, roho chafu, chuki, visasi na anatumiwa na shetani tu. kwani haendi kwa waganga yule? au anataka yafumuliwe mambo humu siri zake?
Kama wanavyofanya Elisha Babuu.Ogopa sana mtu anaye mtaja Mungu majukwani kama kichaka cha kujificha
Kama akina Elisha babu wanavyofanya.Ogopa sana mtu anaye mtaja Mungu majukwani kama kichaka cha kujificha
Kwa unavyojua wewe kila kesi inapokuwa mahakamani basi muhusika ana makosa moja kwa moja? Vip Gwajima kafunguliwa kesi mahakama gani na inahusu nini?Kilichopo kila anayesubiria kwenda mahakamani inamanisha ipo kesi ya kujibu..! Nataka nione anayedai hakukutwa na hatia aseme tujue kaonewa wapi
Unaelewa tofauti kati ya kesi na hatia? Kufungua kesi inamanisha kuna kesi/jambo unatakiwa kujibu kiufupi nipotezee unanisumbulia kichwa tu hapa kwa ubungo wako kiduchu.Kwa unavyojua wewe kila kesi inapokuwa mahakamani basi muhusika ana makosa moja kwa moja? Vip Gwajima kafunguliwa kesi mahakama gani na inahusu nini?
Una akili ndogo sema tu hujijui, soma ujinga wako wa mwanzo huko juu ndio uje useme tena hapa.Unaelewa tofauti kati ya kesi na hatia? Kufungua kesi inamanisha kuna kesi/jambo unatakiwa kujibu kiufupi nipotezee unanisumbulia kichwa tu hapa kwa ubungo wako kiduchu.