Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

D4M.jpg
 
Hii kesi kama hakuna mkono wa juu mtapoteza muda tu...msidhani itakuwa rahisi kama ile ya Bw Saa bovu.
 
Huenda kubenea kuna kitu anatuchezea, hili suala lishakua sasa na kalenda nyingi. Makonda yupo, yupo tena sana na wala hajifichi. Yupo Arusha Njiro anakula bata kama kawaida. Huenda hata mahakama inamzunguka tu kubenea
 
Baada ya aliyekuwa RC wa Dar, Paul Makonda, leo Alhamisi kutotokea mahakamani katika kesi aliyofunguliwa na Saed Kubenea, kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Wakili Hekima Mwasipu amedai wanampango wa kuiomba mahakama itoe wito mpya baada ya juhudi za kumpata kushindikana.

---

Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni , ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paulo Makonda .

Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea .
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .

Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .


Hii case yenyewe hata Makonda akija mahakamani haina msingi wowote na hakuna wa kuthibitisha hayo mashitaka ni kupoteza muda tuuu!
 
Back
Top Bottom