Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Hii kesi kama hakuna mkono wa juu mtapoteza muda tu...msidhani itakuwa rahisi kama ile ya Bw Saa bovu.
 
Huenda kubenea kuna kitu anatuchezea, hili suala lishakua sasa na kalenda nyingi. Makonda yupo, yupo tena sana na wala hajifichi. Yupo Arusha Njiro anakula bata kama kawaida. Huenda hata mahakama inamzunguka tu kubenea
 

Hii case yenyewe hata Makonda akija mahakamani haina msingi wowote na hakuna wa kuthibitisha hayo mashitaka ni kupoteza muda tuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…