Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Aliyewapika hivyo sio Jpm ni chama chenyewe. Jpm tusimwonee kila kitu
Mtiririko wa kupika mavijana ya Hovyo unaanzia na kijana mwenyewe kwa kupokea mapokeo ya kuchekewa chekewa na wakuu zao JPM hakwepi hii lawama maana alikuwa anajiita kiingozi kichaa so wale walikuwa watoto wa baba yao kichaa
 
Mm nadhani haya mavazi ya hijabu na baibui yasitishwe kwa muda hadi makonda apatikane.
Isije ikawa tunapishana nae humu humu mjini kwenye vazi la baibui..[emoji3][emoji3][emoji3].

Kama alivyotoroka rais wa visiwa vya Anjuani Comoro.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tusimsingizie Jpm mbona wakati anampiga mtama Mzee Warioba Jpm alikuwa mbali
Ukweli CCM ndiyo mbaya wetu waTanganyika

Karangi pori kapumbafu sana
Aiseee! Sema mshkaji wetu aliwasagia sana kunguni 'wazee' wetu wastaafu.

Pengine ataundiwa kamati au wampotezee, japo teknolojia itamuumbua sana kwa ile 'press' yake endapo wakereketwa wataliamsha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ilinisikitisha sana yan[emoji174]
Na bado wakamuenzi...
Screenshot_20220202-174152.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom