Mtiririko wa kupika mavijana ya Hovyo unaanzia na kijana mwenyewe kwa kupokea mapokeo ya kuchekewa chekewa na wakuu zao JPM hakwepi hii lawama maana alikuwa anajiita kiingozi kichaa so wale walikuwa watoto wa baba yao kichaaAliyewapika hivyo sio Jpm ni chama chenyewe. Jpm tusimwonee kila kitu
...ya jana siyo ya Leo.Mbona Cyprian Musiba kashtakiwa na kahukumiwa kulipa mabilion na Shangazi na Joka la mdimu lakini kimyaa Hadi Sasa.
Nani ? Hapi?Vijana msitukane wazee haya ndio madhara yake sasa
Bado kale kadogo ambako bado kanabebwa
Anakwenda mwenyewe?
Yaani Kwa sasa eti Nape anapigiwa saluti huku Bashite akiskwa na hao hao waliokuwa wakimlinda na kumpiga saluti?Dunia tambala bovu sana !
Karangi pori kapumbafu sanaNani ? Hapi?
Watu wanadhani Laana haifanyi kazi
Hiyo ilikuwa ni Kali ya mwaka, wanasiasa wengi wako na tabia na maamuzi ya ajabu sana ! Hivi huwa ni sababu ya low IQ au ni nini ??Mwanaume hutakiwi kuendesha IST - Makonda
Nani ? Hapi?
Sasa hivi anajificha kama dubuNiliwahi kuandika kuwa yale majivuno ni ya muda tu, majira yake yakipita hatakuwa lolote wala chochote.
Makonda ni somo zuri sana pamoja na Sabaya.Sasa hivi anajificha kama dubu
Aiseee! Sema mshkaji wetu aliwasagia sana kunguni 'wazee' wetu wastaafu.Tusimsingizie Jpm mbona wakati anampiga mtama Mzee Warioba Jpm alikuwa mbali
Ukweli CCM ndiyo mbaya wetu waTanganyika
Karangi pori kapumbafu sana
Dhuu kweli dunia inazunguka kwa kasi sana.
Yaani gesi ra porisi linabidi liundwe upya. Tupate geshi lenye akili kama la rwanda
Na kubebwa juu