Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ameshampiku Nchimbi !
Hasikiki tena Nchimbi !
Nchimbi akae akule tu mema ya LiChama letu !
Ameshakuwa Overshadowed !!
Jamaa ni Kiboko yao ndani ya Chama !!
Naona kama ameshaanza kujadiliwa jadiliwa na wanaomuogopa Chamani hasa vigogo !!
Ngoja Tusubiri tuone hii movie !
Jamaa nyota imewaka ameshakuwa Chief msaidizi wa Hangaya !!
Kazi kweli kweli 😅😅🙏🙏
 
Hatumtambui Takataka hiyo

Kwa hisani ya Mutu ya MAGANZO
 
Kama Taifa tuna taratibu zetu za kuongoza kama katiba mahakama na Bunge. hayo mengine ni mazingaombwe.
 
Mheshimiwa Dr Nchimbi yeye ni mtendaji mkuu wa chama ,kwa hiyo kazi yake ni kuratibu kuhakikisha kuwa kila kitu kinakwenda sawa, ikiwepo kuhakikisha kuwa katibu wetu mwenezi Anaendelea na ziara zake bila kukwama wala kupata shida kwa kukosa mafuta ya gari kama CHADEMA waliokosa mafuta ya helikopta yake.
 
Kazi unayo!!. Vipi ni lini watamsimika kuwa mganga mkuu wa kienyeji au hili hawajakwambia?
 
Umenena. !!
 
Hivi hawa machifu njaa huwa wanalipwa mshahara au ndiyo maana wana njaa kiasi hiki
Watafuta fursa hao na wanatumika na wanasiasa waliokosa hoja na mvuto. Ninachofahamu ni utawala wa machifu ulifutiliwa mbali kwenye nchi yetu na tangu hapo hatuna machifu tena.

Sasa wanasiasa waliokosa hoja na mvuto naona wanashirikiana na machifu njaa wakidhani watapata mvuto.
 
Mungu ambariki sana Makonda, watanzania tunampenda mno mno tena sana. Dkt Samia ndiyo chaguo letu 2025

..Brazillian Butt Lift.

..akatengeneze na kifuani pia.

..hawa watu husubiri mpaka wawe na madaraka makubwa halafu wanajitangaza.

..Ni kama yule Askofu. Akiwa padri alikula nyuti. Alipokuwa Askofu akajitangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…