Hao siku hizi alimradi mtu aende na kitita kizuri cha pesa, atafanyiwa uchawi wote na kitangazwa kuwa chifu.Raha ya hawa wasimika machifu wa mchongo, kesho Katibu mkuu wa CCM akifika hilo eneo na yeye atasimikwa kuwa Chifu nsumbantale pia. Au hata Mnyika akifika hapo na yeye atasimikwa kuwa Chifu nsumbantale.
Ni kama vile taifa la watu waliochanganyikiwa.
Mwambie basi Mnyika naye aende huko akasimikwe.
Well said. Hiyi bwana alitangazwa wazi kwa Dunia nzima kuwa ni muuaji. Hakuwahi kuoinga wala hata serikali ya Tanzania haikuwahi kukanusha.Makonda atabaki kuwa kiongozi pekee nchini aliyepigwa marufuku kukanyaga ndani ya ardhi ya nchi nyingine kwa kosa la kukatisha uhai wa wananchi wake,kwa hiyo makonda atabaki kuwa ni muuaji until his innocence proved.
Huyu ni malkia ...nimefunga mjadala,mwanaume hamiliki msabwandaNdugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda kuwa Chifu Nsumbantale,yenye maana ya Msaidizi wa Chifu mkuu Hangaya ambaye ni
Mheshimiwa Makonda ni lazima aje awe Rais wa nchi yetu ya Tanzania
Hayo ni mawazo yakoHizo sherehe za kuvishwa sijui uchifu, huambatana na mambo ya nguvu za kishirikina. Kukubali kufanyiwa hayo mambo yanayoitwa sherehe za kimila na jadi, ni kuamua na kukiri kwamba sasa umeamua kujitenga na Mungu wa Ibrahim.
Utakwenda wewe jera.Labda kama nchi itakuwa imebakiwa na mapunguani watupu. Nje ya hapo, hiyu sehemu ya kumalizia maisha yake ni jela. Kwa sasa anavuta tu muda.
Ujinga zaidi ni kudani kuwa kila anayekinzana na wewe ni CHADEMA, sijawahi kuwa mwanachma wala kada wa chadema ispokua mwanachama dormant wa ccm na kadi yangu ya mwaka 2004. Meanwhile unayo haki ya kaucha kile unachodhani ni matusi na kujibu hoja iliyoibuka ndani ya andiko langu. Vinginevyo hutakua tofauti na makada wengine au wanachama wa ccm ambao kwao ukweli ni matusi na wanatamani kuchukuliwa kifamilia zaidi kuliko mkataba uliopo wa watawala na watawaliwa maana ndani ya ccm hakuna viongozi kuna watawala wanaomini katika wao wenyewe tu kuwa ndio sahihi na ni mabosi wa watawaliwa. kama hujui kasome tofauti ya leadership and administration ufute ujinga.Naona CHADEMA mmevurugwa akili zenu ni hakuna mfano.siku hizi mmebaki mnatukana matusi kwenye hoja zenu kama vichaa au wendawazimu waliocheleweshwa matibabu. Kaa na tulia ndugu yangu ujenge hoja bila matusi wala sijuwi lugha za kwenye vijiwe vya wavuta bangi.huwezi ukajibiwa vyema ukiweka maneno ya matusi na dharau katika hoja yako, maana yanakuwa yameondoa nguvu na kuidhoofisha hoja yako
Kama ulisoma kweli UDSM basi chuo kitakua kinatembelea rim kama graduate anashindwa kutofautisha "r" na "l" jitahidi wakati utakapotaka kuoa kipindi unapanga kuondoka hapo kwa shemeji yako umtafute mwanamke atakayekuwa na uwezo wa kuwasaidia watoto homework. Maana wewe ngoma iko ngachu wasemavyo waswahili wa pwani.Utakwenda wewe jera.
Nakuambia subiria siku ambayo hilo jambazi lako siku litakaposindikizwa jela.Utakwenda wewe jera.
Wewe ndiye jambazi. Uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa kiongozi wetu mchapa kaziNakuambia subiria siku ambayo hilo jambazi lako siku litakaposindikizwa jela.
Ila siku akiwa rais binafsi najiuaNdivyo inavyokuwaga kama mzaha mzaha tu !!
Mara paap Magogoni !!
Niue tu mapema maana ndiye Rais kuanzia 2030Ila siku akiwa rais binafsi najiua
Usijiue maana kujiua huwa ni uoga wa kuyakabili maisha π π !Ila siku akiwa rais binafsi najiua
Mheshimiwa Makonda ni Rais kuanzia 2030,kwa hiyo hilo kila mtu akae akijua hivyoUsijiue maana kujiua huwa ni uoga wa kuyakabili maisha π π !
Hata akifika huko watu watamkabili tu !
Lakini Kwakweli atawanyoosha watu !
Naikumbuka ile list aliyoitoa ya wauza na watumiaji Ngada π
Jamaa ana roho ngumu !!
Siyo roho ngumu, ni roho ya shetani yaani ni kama ile roho ya JiweUsijiue maana kujiua huwa ni uoga wa kuyakabili maisha π π !
Hata akifika huko watu watamkabili tu !
Lakini Kwakweli atawanyoosha watu !
Naikumbuka ile list aliyoitoa ya wauza na watumiaji Ngada π
Jamaa ana roho ngumu !!
Niue tu mapema maana ndiye Rais kuanzia 2030
Mheshimiwa Makonda amepewa roho ya kijasiri anayopaswa kuwa nayo kiongozi yoyote yule.maana bila ujasiri utajikuta unakwama maeneo mengi katika kufanya maamuzi na kuchukua hatua ,kwa kuogopa sura za watu na namna utakavyoonekana mbele yao.Siyo roho ngumu, ni roho ya shetani yaani ni kama ile roho ya Jiwe
Hata ChiembeeπTakataka