Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri


siyo kila raisi wa tanzagiza ni raisi wa tanzania …
 
Hizo ni rumons tuu watu wanajiandaa na 2030 hawana habari na huu uchaguzi msiwachonganishe Mawaziri na Rais ati Makonda kaona
Uongo Una mwisho mbaya
 
Naunga mkono hoja, unaongea kwa weredi na hekma
 
Nimeshangaa Sana
Sio kwamba PM au Mawaziri hawawezi fitina na majungu kama ya Makonda ila wameamua kukaa kimya
Rais alitazame hili
Alinza kumsimanga PM alipokuwa Mkuu wa Mkoa Dar
Akaja alipokuwa Mwenezi
Sasa Indirectly Yuko Arusha anaendeleza kwa mawaziri
Huyu mtu ni tatizo kwa usalama wa Taifa
 
Makonda ana ujinga na laana ya watu aliyowateka na kuwaua.

Jumapili utaona clip akilia kanisani.

Akimaliza miezi 6 kwenye uRC nitakunya kwenye daladala
 
Ngoja atumwe, ikinyesha tutajua panapovuja
Hakuna kitu kama hicho

Rais ni taasisi imara Sana
Yaani isione isishughulikie imwachie Makonda
Umesahau kilichomkuta ndugai
Yaani umchezee mama ukitegemea akuache yeye eti amtume Makonda non sense
 
Alipiga naye picha Marekani.Naona Samia hajampa alichokitaka. Chickens are coming home to roost.
Mtangulizi wake ametukanwa sana huyo mwanamke, mitandaoni, wapinzani na wengi ndani ya baraza lake la mawaziri hajawahi kutoa tamko kukemea chochote.

Ndio kwanza alikuwa anachochea moto kwa kauli zake za kimafumbofumbo akionyesha kuwaunga mkono.
 
Hili jambo kama Rais Samia ataliacha ajue kesha tengeneza anguko lake na kufifisha shughuli za taifa.
Maana kuanzia sasa hali ya hewa ndani ya baraza la mawaziri imeshachafuka na kutokuaminiana kutakuwepo hivyo pasipo na kuaminiana hakuna collective responsibility kabisa na hilo ni hasara kwa taifa changa na lenye changamoto nyingi kama letu.
Hivi Makonda kampa nini? Hivi watu wa usalama wanawajibika kweli kumweleza ukweli kuhusu hii teuzi ambayo hata Magu aliishtukia?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…